ankal akiwa na wageni toka mji wa kusoma. toka kulia ni suzan mzee, mai hazbendi wake mbaruku mzee (kulia kwa ankal) na mdau. hawa wako ndani ya nyumba wakiwa katika vekesheni ya kila mwaka
ankal akiwa kapewa ofa ya dina la mchana na suzan mzee na mai hazbendi wake mbaruku mzee Break Point ya mjini. hapo msosi ni 'haha' kwa ugali wa mahindi ya mbeya...


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Ankal "haha "nini nisije nikashangaa nikija likizo kwa huo msamiati mpya

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 14, 2010

    hio flana si uliiacha uk ifanyiwe mnada au? na kama umenunua nyingine umevunja mkataba uzuri wa kitu maarufu kiwe kimoja tu kikiwa jezi unaaribu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2010

    Ankal umetuibia ze fulanazz

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 14, 2010

    ANKAL VIPI, HIYO T-SHIRT SI ULITOA HAPA GLOBU ULIPOKUWA LONDON KWAMBA INAUZWA NA FEDHA ITAPELEKWA WA GLOBUGA CHIPUKUZI, SASA IMEKUWA JE TENA UMEIPIGA MWILINI MWAKO?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 14, 2010

    Hawa ndio walioigeuza UK ikawa kama Mbagala kwa mambo yao ya CCM.
    Mbona basi hatuwasikii wakiihamasiha CCM hapa Bongo?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 14, 2010

    Ankali unajinoma tuu apo nguna imekosekana palachichi tuu

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 14, 2010

    ankal nguna hiyooo.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 14, 2010

    Gayson Malisa rudi kidogo UK ujaze shavu naona limepungua sana..lol Good to see you Brother.

    Mdau wako wa Tudor.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 14, 2010

    Ankal hiyo t-shirt yako nilifikiri uliiuza..vp tena unazo nyingi au?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 14, 2010

    ankal kuanzia leo ni marufuku kukaa katikati ya mai waifuuu na my hazibandi wake hasa kwa tabia yako nzuri.hiyo menyu inanitoa udenda.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 14, 2010

    mungu wangu eeh ankal una tanua na ku cheel ile mbaya kila kona katika ulimwengu huu eeh bwana eeh. na umenitamanisha hako kachakula jamani eeh. hivi una kizizi gani jamani.siyo kama naona choyo ila tu nataka kujua

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 15, 2010

    T shirt si ilishapigwa mnada, imekuwaje!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 15, 2010

    ankali mbona hamna maji simtanigwa au ndo mambo yakupigwa ngumi ukinigwa natonge ili lishuke

    mdau reading

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 15, 2010

    Kaka Habari za miaka mingi(1.5 decades) Hongereni sana Mbarouk na Suzan miaka mingi pamoja nakumbuka wakati kaka unamtokea Suzan 90's.
    Nimepoteza Contact zako Mbarouk nicheki Giliard Msangi...Mzumbe Boy.Bado niko States. Email: delivered.son@hotmail.com ...Long life you too. Please hit me up Bro!!!Take care of yourself and your lovely ones.
    Gill

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 15, 2010

    Michu kaka, Hiyo Nguna huku Adimu yaani tunapika siku za Eid tena ikipatikana kauzu la Kigoma au Mwanza basi ni sherehe kuendelea mbele..Ngunazzz Hoyeeee!
    Wadau wamemind hiyo ze Fulanaaaz!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 15, 2010

    Wana Blog, tafadhali tuache kugeza namna za kuandika za watu wengine (we should stop imitating other people's writing styles). Hii itasaidia kupunguza mikanganyiko na pengine hata ugomvi usio wa lazima. Mtapelekea mpaka watu waache kuchangia mada humu ndani.

    By the way, Mi nilidhania kuwa Susan Mzee mumewe ni yule Bwana Ayoub Mzee ama "kuku wa kubanikwa" kama alivyowahi kuitwa hapo nyuma, ile picha aliyopiga na kidosho favourite cha the late Nduli Idd Amin.

    Tuzingatie hayo basi wandugu, tusigezane namna ya kuandika sana enh?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...