Home
Unlabelled
ankal apata ugeni toka mji wa kusoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal "haha "nini nisije nikashangaa nikija likizo kwa huo msamiati mpya
ReplyDeletehio flana si uliiacha uk ifanyiwe mnada au? na kama umenunua nyingine umevunja mkataba uzuri wa kitu maarufu kiwe kimoja tu kikiwa jezi unaaribu.
ReplyDeleteAnkal umetuibia ze fulanazz
ReplyDeleteANKAL VIPI, HIYO T-SHIRT SI ULITOA HAPA GLOBU ULIPOKUWA LONDON KWAMBA INAUZWA NA FEDHA ITAPELEKWA WA GLOBUGA CHIPUKUZI, SASA IMEKUWA JE TENA UMEIPIGA MWILINI MWAKO?
ReplyDeleteHawa ndio walioigeuza UK ikawa kama Mbagala kwa mambo yao ya CCM.
ReplyDeleteMbona basi hatuwasikii wakiihamasiha CCM hapa Bongo?
Ankali unajinoma tuu apo nguna imekosekana palachichi tuu
ReplyDeleteankal nguna hiyooo.
ReplyDeleteGayson Malisa rudi kidogo UK ujaze shavu naona limepungua sana..lol Good to see you Brother.
ReplyDeleteMdau wako wa Tudor.
Ankal hiyo t-shirt yako nilifikiri uliiuza..vp tena unazo nyingi au?
ReplyDeleteankal kuanzia leo ni marufuku kukaa katikati ya mai waifuuu na my hazibandi wake hasa kwa tabia yako nzuri.hiyo menyu inanitoa udenda.
ReplyDeletemungu wangu eeh ankal una tanua na ku cheel ile mbaya kila kona katika ulimwengu huu eeh bwana eeh. na umenitamanisha hako kachakula jamani eeh. hivi una kizizi gani jamani.siyo kama naona choyo ila tu nataka kujua
ReplyDeleteT shirt si ilishapigwa mnada, imekuwaje!!
ReplyDelete(US Blogger)
ankali mbona hamna maji simtanigwa au ndo mambo yakupigwa ngumi ukinigwa natonge ili lishuke
ReplyDeletemdau reading
Kaka Habari za miaka mingi(1.5 decades) Hongereni sana Mbarouk na Suzan miaka mingi pamoja nakumbuka wakati kaka unamtokea Suzan 90's.
ReplyDeleteNimepoteza Contact zako Mbarouk nicheki Giliard Msangi...Mzumbe Boy.Bado niko States. Email: delivered.son@hotmail.com ...Long life you too. Please hit me up Bro!!!Take care of yourself and your lovely ones.
Gill
Michu kaka, Hiyo Nguna huku Adimu yaani tunapika siku za Eid tena ikipatikana kauzu la Kigoma au Mwanza basi ni sherehe kuendelea mbele..Ngunazzz Hoyeeee!
ReplyDeleteWadau wamemind hiyo ze Fulanaaaz!
Wana Blog, tafadhali tuache kugeza namna za kuandika za watu wengine (we should stop imitating other people's writing styles). Hii itasaidia kupunguza mikanganyiko na pengine hata ugomvi usio wa lazima. Mtapelekea mpaka watu waache kuchangia mada humu ndani.
ReplyDeleteBy the way, Mi nilidhania kuwa Susan Mzee mumewe ni yule Bwana Ayoub Mzee ama "kuku wa kubanikwa" kama alivyowahi kuitwa hapo nyuma, ile picha aliyopiga na kidosho favourite cha the late Nduli Idd Amin.
Tuzingatie hayo basi wandugu, tusigezane namna ya kuandika sana enh?