Home
Unlabelled
mambo ya GADO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ha ha ha ha haaaaaa..
ReplyDeleteSafety Health and Environmental (SHE) Policies ??
Economic empowerment indeed..
Kweli kabisa. Wakenya ni mabingwa wa kuchota mafuta kwenye maeneo ya ajali bila kujali kama mafuta hayo yanaweza kutumiwa na binadamu au la.
ReplyDeletemzee hiyo umechemsha,,hakuna mtu ambaye angeangaika na hiyo crude oil,,maana huwezi kutumia mpaka usafishe kiwandani...
ReplyDeleteAnon May 25, 12:16,
ReplyDeleteUnacheza na Wabongo nini? (kwa mantiki hii hao wa Kenya). Watu watayatumia hata kukaangia chips ati (wale wauzaji chips vumbi wale)! Hujui kuna hadi wanaotumia mafuta ya transformer kukaangia chips? Vinginevyo watayapeleka kwenye soko haramu (Black Market). Lol.
swali:
ReplyDeleteGADO ni m-bongo au mkenya?
simuelewi