Baadhi ya washiriki wa mchezo wa Pool toka vyuo vya elimu ya juu wakiwa katika mashindano leo Coco Beach ambapo timu 16 zipo katika kuchuana vikali kutafuta nafasi ya kucheza hatua ya robo fainali.mashindano haya ya Pool Table yanaendelea leo na kesho ndio siku ya mwisho na mshindi ambapo timu bingwa itaweza kujinyakulia kitita cha shilingi mil. 1 taslim huku mshindi wa pili akiondoka na shiling laki 6 taslim na watatu shilingi laki 4 toka kwa mdamini mkuu wa mashindano hayo Bia ya Safari Lager. timu zikiendelea kuchuana vikali
furaha ya ushindi ikitawala katika fukwe ya Coco Beach leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...