Vodacom Miss Iringa Rahma Gege(katikati)akiwa amepozi kwenye picha na mshindi wa pili Grace Simon(kushoto)na mshindi wa tatu Mary Kagali(kulia) mjini Iringa wikiendi ilopita
Baadhi ya washiriki wakiwa wamepozi kwenye picha ya vazi la jioni katika shindano la kumtafuta Vodacom Miss Iringa.
Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya kusini Jackson Kinswaga akiwaasa washiriki kabla ya kinyang’anyiro hicho cha kumtafuta Vodacom Miss Iringa kuanza.
Afisa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi (katikati) kutoka hedkota akibadilishana mawazo na wafanyakazi wenzake wa mkoa wa Iringa katika siku ya kinyang’anyiro cha kumpata Vodacom miss Iringa.
Baadhi ya wapenzi wa urembo wakipiga picha na kufuatilia shindano la kumtafuta Vodacom Miss Iringa wikiendi ilopita



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...