mdau valentino maganga na mai waifu wake angel tarimo wakifurahi baada ya kumeremeta leo kanisa la mtakatifu joseph jijini Dar, kabla ya kuelekea ukumbi wa Mwika Hall Sinza Makaburini katika mnuso
ni wanaki wa keki na kila mmoja anajiuliza nani aanze...?

maharusi na wapembe kwenye mnuso wao
maharusi wakisakata sindimba kwenye mnuso wao




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2010

    1. Maharusi wametoka mwake, haswa hiyo suti ya Bwana Harusi si haba, Bibi Harusi nae kapendeza, japo huyo aliyempaka huo wanja naona kidogo ...

    2. Wanaonekana kuwa wanapendana, body language.

    3. Katika wapambe wa kike (Ma-matron) ambao wanapaswa kufagiliwa, huyu mpambe wa Bi. Angela anapaswa kufagiliwa waa waa, kwani ni dhahiri kuwa hashindani na wala hakutaka kushindana na Bi. Harusi, kamwachia muhusika wa shughuli atambe katika siku yake. Nami nakufagilia Mpambe.

    4. Maisha mema ya ndoa. Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.

    5. Kama mu radhi, mzae matunda mema. Amen.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2010

    Hongera sana Maganga mdogo.Maharusi wanameremeta, Mpendeza sana.

    Ndugu yako.

    Col, Ohio

    ReplyDelete
  3. Mume Wangu, Mikanjuni TangaMay 16, 2010

    Toba jamni, Msukuma amenaswa kisawasawa. Hapo hata angeambiwa ng'ombe 1000 angetoa tu.
    Nawatakia maisha mema ya ndoa na kizazi cha watoto wengi wasiokuwa na chembe chembe za ufisadi.
    Hakika mmependeza, hongereni sana na karibuni katika chama hiki cha Wanandoa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 16, 2010

    hongereniiii mkaishi salama mtunzane vizuuri

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2010

    Hongera 'Namhala' na pia hongera bi harusi umepata mume mwema. Wasukuma ndiyo waoaji wazuri.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2010

    Eh!! we namba 3 kwani wengine huwa wanashindana na maharusi au wahusika wenyewe wanamake wrong choyce matokeo yake wanafunikwa.
    Be very carefuly when it comes to selection of your matron and maids la sivyo!!!!!....................

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 17, 2010

    Hongera Maganga nawatakia maisha mazuri katika ndoa yenu

    Zainab
    Cape Town

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 25, 2010

    Hongera sana Kaka, sikujua kama umefunga ndoa. Mungu awatangulie katika maisha yenu.

    Best wako.

    Nevada, USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...