Home
Unlabelled
valentino na angel wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
1. Maharusi wametoka mwake, haswa hiyo suti ya Bwana Harusi si haba, Bibi Harusi nae kapendeza, japo huyo aliyempaka huo wanja naona kidogo ...
ReplyDelete2. Wanaonekana kuwa wanapendana, body language.
3. Katika wapambe wa kike (Ma-matron) ambao wanapaswa kufagiliwa, huyu mpambe wa Bi. Angela anapaswa kufagiliwa waa waa, kwani ni dhahiri kuwa hashindani na wala hakutaka kushindana na Bi. Harusi, kamwachia muhusika wa shughuli atambe katika siku yake. Nami nakufagilia Mpambe.
4. Maisha mema ya ndoa. Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.
5. Kama mu radhi, mzae matunda mema. Amen.
Hongera sana Maganga mdogo.Maharusi wanameremeta, Mpendeza sana.
ReplyDeleteNdugu yako.
Col, Ohio
Toba jamni, Msukuma amenaswa kisawasawa. Hapo hata angeambiwa ng'ombe 1000 angetoa tu.
ReplyDeleteNawatakia maisha mema ya ndoa na kizazi cha watoto wengi wasiokuwa na chembe chembe za ufisadi.
Hakika mmependeza, hongereni sana na karibuni katika chama hiki cha Wanandoa.
hongereniiii mkaishi salama mtunzane vizuuri
ReplyDeleteHongera 'Namhala' na pia hongera bi harusi umepata mume mwema. Wasukuma ndiyo waoaji wazuri.
ReplyDeleteEh!! we namba 3 kwani wengine huwa wanashindana na maharusi au wahusika wenyewe wanamake wrong choyce matokeo yake wanafunikwa.
ReplyDeleteBe very carefuly when it comes to selection of your matron and maids la sivyo!!!!!....................
Hongera Maganga nawatakia maisha mazuri katika ndoa yenu
ReplyDeleteZainab
Cape Town
Hongera sana Kaka, sikujua kama umefunga ndoa. Mungu awatangulie katika maisha yenu.
ReplyDeleteBest wako.
Nevada, USA