Kwaya hii inautaratibu kila mwaka kufanya huduma hii ikiwa nipamoja nakwenda kuimba na watoto,
Kwaya hii inautaratibu kila mwaka kufanya huduma hii ikiwa nipamoja nakwenda kuimba na watoto,
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongereni sana wanakwaya wetu kwa jambo jema mlilochachua. Lakini hivi haiwezekani kuwa na wazo la kuanzisha mradi madhubuti na endelevu ambao utakuwa unawapa yatima hawa riziki yao ya kila siku ?? badala ya kuwa wanapelekewa misaada kwa msimu pasipo na uhakika wa kuipata pindi wanapo hitaji? hebu tulifikirie hili na huenda mungu aliye juu akatenda. na kama yawezekana na iwe kwa vituo mbali mbali
ReplyDeleteWapi mamaa Joyce Chilolet....!!!! Uimbaji mwema.
ReplyDeleteWapi mamaaa Alatufisa Maketi...... Nimeimisi sana hii Kwaya.
ReplyDeletePicha ya tatu huyo mtoto wa kwanza aliyeshikwa hapo amenifanya machozi yatoke...
ReplyDeleteMungu atawabariki tu
duh! hichi kituo kimenikumbusha miaka ya 77 na 78 tulipokuwa tunaenda pale kusoma chekechea. chekechea ilianzishwa ili kuwapa kampani watoto wa pale. one day nitawatembelea hawa watoto.
ReplyDeleteKwaya ina wenyeviti wangapi? is it Kigula or Mushi?
ReplyDeleteNauliza tu , msinimeze wala kunizozomokea.
Nakubaliana na mdau pia aliyesema juu ya mradi endelevu na ambao una wa include hawa watoto kuliko hii Faza Kilisimasi ambayo hujui lini yaja, wala ya taipu gani.
FANTA-KIPAPLI
Kwaya ya Uinjilisti Knyama tunaomba mfanye mpango wa kuingia studio mtoe albam mpya.Mnatuweka sana sisi mashabiki wenu jamani.
ReplyDeleteTunawapongeza kwa kazi nzuri za kijamii mnazofanya pamoja na uimbaji wenu mzuri kila Jumapili.
Mungu awabariki sana kwa moyo wenu.
aleluya wanakwaya
ReplyDeletemimi naenda kusaidia watoto wa MAKETE-IRINGA kwakweli na Mungu ansaidie nipate viongozi wasio na uchu wa kutafuna huo mradi maana nataka uwe endelevu kwa taifa hili la baadae
wanaitaji mapenzi/upendo wetu sana Mungu awalinde malaika hawa
uwa nalia tu nikiwaona hivi!!
Wewe FANTA KIPAPLI sikiliza majibu yako. Kwaya ina Wenyeviti wawili kwa maana ya Mwenyekiti mkuu na mwenyekiti msaidizi. Imetokea bahati mbaya tu mwandishi wa habari hii hakutabanaisha. Halafu wewe inaonekana ulikuwa ama ni mwanakwya wa hii kwaya mana kulikuwa na Uniform yaitwa KIPAPLI PAPLI. Nagira A Town.
ReplyDeletemchangiaji wa mwisho kabla yangu... anajaziba ama na yeye ni mwanakwaya hivyo anacho anachokijua huyu...ndo maana kaaongelea suala la uniform...
ReplyDeletemzee wa kuweka kapuni haya na hii tena weka
sawa hata hivyo wamechoka mbaya siku hizi
ReplyDeleteMshamba wa Nagira sijui kitu gani, sijawahi hata kuwa Mwanakwaya hapo, nimeuliza tu ili kujua maana hiyo bahati mbaya mi ningeijuaje? kwani nalala kitanda kimoja na Ankal au mwandishi hadi nijue?
ReplyDeleteKuhusu ya Yuniform, utajibeba mwenyewe, mi hata habari sina . Maana mbona hapo hawajavaa? Wakati mitoko kama hiyo ndo wangevaa kuonesha ni kundi moja lenye kunia mamoja! au hadi waitwe kwenye matamasha?
Au wanaona kuwavalia Yuniform hao watoto ni kama haistahili?
Na kama uko Nagira haya ya Kijito yanakuhuuuu?
halo!
SPRITE-KIPAPLI
Huyo mama aliyeshika mtoto hapo mbele amemshika akudhihirisha kuwa si wake wala hana upendo naye. Hebu jamani angalia, hata hajamfunika tumbo la mtoto, na kutengeneza gauni lake vizuri kama kawaida ya upakataji mtoto. Mtoto ukimpakata unamtengeneza nguo zake zilizovulugika wakati ukimnyanyua. Nina wasi wasi watu wengine huwa wanaenda vituoni kijionyesha tu. Hizo zawadi wapewe walengwa sio wengine kuzikodolea macho.
ReplyDelete