Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi amabapo leo atahutubia Bunge la Afrika Mashariki. Aliyesimama Pembeni ya Rais ni Makamu wa Rais wa Kenya Kalonzo Musyoka. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2010

    mr. president tunakuongezea muda wa miaka 4 lakini baada ya hapo hiyo peni wape vijana wa bulogu ya michuzi wakiongozwa na Nabii nanihii wa wolstriti,Kanumba wema sepetu na hasheem wa D-League

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...