Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Jossey Mwakasyuka akitoa Maelezo kwa wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Joseph ya Mwanza kuhusu Maana Kuwepo kwa Siwa Bungeni, Historia yake na Namna inavyotumika katika vikao vya Bunge. Maonesho haya yanafunguliwa rasmi leo
Mkurugenzi wa kamati za Bunge, Charles Mloka, akiwaeleza wananchi wa Mkoa wa Mwanza waliofika kutembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma namna majadiliano ya Bunge ambayo Taarifa Rasmi za Bunge (Hansard) Zinavyoandaliwa katika vikao vya Bunge na Historia yake.
Siwa ya Bunge imekuwa kivutio kikubwa katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika Banda la Bunge kama inavyoonekana Afisa wa Bunge. Mathew Kileo akitoa maelezo namna siwa ilivyo na jinsi inavyotumika Bungeni kama Ishara ya Mamlaka ya Bunge.
Picha na Owen Mwandumbya




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...