Mchuano wa kuvutana kwa kamba kati ya timu ya Veteran ya Mwamko toka Mwembe Yanga na Twiga Veteran ambapo matokeo yalikuwa droo baada ya timu zote kushindana kwa mabavu.
Hii ilikuwa ni Bonanza maalumu lililoandaliwa na Idara ya huduma za umeme na elektroniki ya Wizara ya Miundombinu (Tanzania Electrical Mechanics and Electronic Services Agency - TAMESA) ambapo jumla ya tano zilishiriki. Nazo ni TEMESA Club, Twiga Veterani, Tabata Veterani, Kigamboni Veterani na Mamko Veterani. Walishindana katika soka, kufukuza kuku na Kuvuta kamba.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...