JK akiongea muda huu kabla ya kuchukua fomu Dodoma
Umoja wa Vijana wa CCM na Tshirt maalum za shughuli hii Kenneth Nolo, Ridhiwani Kikwete, Malisa wakijiandaa
kumpokea mgombea aje kuchukua fomu
Mh. Chiligati na Mh. Mkuchika wakipanga mipanngo
ya shughuli ya uchukuaji wa fomu
JK akiwasili katika hafla hiyo

ANGALIE LIVE SHUGHULI YA JK KUCHUKUA
FOMU INAYOENDDELEA HIVI SASA HUKO DODOMA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2010

    Jamani! Huyu JK halali! He is always on the Go / on the Run! Mara yuko Ruvuma, mara Rukwa, Mara Bukoba, Mara Dodoma! Heeh.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2010

    all the best mr president.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2010

    ndio maanake,alale wakati analipwa.piga kazi kamanda

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2010

    bado tunakuhitaji sana tu,chukua form baba kura zetu unazo!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 21, 2010

    nadhani JK ananafasi kubwa ya kushinda uchaguzi kwa zaidi ya asilimia 70,wapinzani bado wako kama mapaka,kila mmoja anajali maslahi,itachukua muda sana kupata nguvu,nadhani pro lipumba kidogo ataleta ushindani,lakini si wakutisha,chadema,nccr na tlp sidhani kama wagombea wao watakuwa na jipya,maana kila mtu anakimbilia ubunge.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 21, 2010

    Na wewe mtoa maoni wa kwanza hulali! Kutwa kuchwa unablogu, mara kwa Michuzi, mara Mjengwa, mara Swahili time mara sijui wapi eeh! una hobby ya ajabu ingawa mwenzio JK yuko kazini na analipwa!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 21, 2010

    mbona hiyo link iko offair.
    any one who has a Tanzanian station link?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 21, 2010

    Sa' Mi nilale wakati niko nimeboeka tu hapa, plus niko tense hivi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...