Swahili map

The Swahili language, is basically of Bantu (African) origin. It has borrowed words from other languages such as Arabic probably as a result of the Swahili people using the Quran written in Arabic for spiritual guidance as Muslims.

As regards the formation of the Swahili culture and language, some scholars attribute these phenomena to the intercourse of African and Asiatic people on the coast of East Africa. The word "Swahili" was used by early Arab visitors to the coast and it means "the coast". Ultimately it came to be applied to the people and the language.

Regarding the history of the Swahili language, the older view linked to the colonial time asserts that the Swahili language originates from Arabs and Persians who moved to the East African coast. Given the fact that only the vocabulary can be associated with these groups but the syntax or grammar of the language is Bantu, this argument has been almost forgotten. It is well known that any language that has to grow and expand its territories ought to absorb some vocabulary from other languages in its way.

A suggestion has been made that Swahili is an old language. The earliest known document recounting the past situation on the East African coast written in the 2nd century AD (in Greek language by anonymous author at Alexandria in Egypt and it is called the Periplus of Erythrean Sea) says that merchants visiting the East African coast at that time from Southern Arabia, used to speak with the natives in their local language and they intermarried with them. Those that suggest that Swahili is an old language point to this early source for the possible antiquity of the Swahili language.


For Source and More

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2010

    kiswahili asilimia 75 ni kiarabu,mifano ni,mahakama,hakimu,hukumu,wakili,kitabu,jawabu,sita,saba,arobaini,shukrani,tafadhali,rais,kiyama,shatani,jini,bahari, naweza nisimalize leo,na hapo lugha nyengine kama english na kihindi zinachangia,pia portuges kidogo,kibantu kinachukua asilimia ndogo sana ya kiswahili.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2010

    ni kweli kabisa kiswahiki ni aslimia 75 MANENO KAMA ziara,shukurani,talaka...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2010

    mdau pia kuna hekima,mwalimu,kalamu,salamu,rafiki,dawa,fahamu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2010

    Kiarabu kina-contribute less than 20% ndani ya kiswahili.Maneno mengi ya kiswahili ni ya kibantu,hivyo ndivyo nilivyofundishwa mimi.Hata kama kuna maneno mengi ya kiarabu hayatafikisha 75% na kama ingekuwa hivyo wabongo tungekuwa tunaongea kiarabu.Asilimia 75 ni kubwa sana(anon #1).Mfano wa lugha inayokaribiana na kiarabu ni kisomali wale jamaa wanaongea sawa na waarabu ingawaje lugha zao haziingiliani.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2010

    lakini jamani mbona nyie watoa maoni mumeelemea zaidi ktk kutoa mifano ya namna moja tu i mean nomino (nouns)pekee na mumesahau kuweka mifano ya vitendo(verbs) ambavyo kiuhalisia vitendo hivi vinatokana na lugha za kibantu,,,,,,na si kweli kuwa asilimia 75 ya misamiati ya kiswahili inatokana na kiarabu,,,,

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 22, 2010

    arobaini,shukrani,tafadhali,rais,kiyama,shetani,jini,bahati,binadamu,binti,futari,karamu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 22, 2010

    75 % ni kizaramu !!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 22, 2010

    na mengine ni,bustani,wardi,kitabu,maluuni,majununi,haba soda,jirani,nisimame hapa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 22, 2010

    kwa hiyo waarabu wakifika dar uwa wanaelewa kila kitu na nyie mkienda uarabuni mnakimwaga kiswahili wanawasikia kabisa.mimi nimekutana na waarabu nikiongea kiswahili hawanielewi.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 22, 2010

    Kwa wale wanaokiabudu ki-english wajue kuwa asilimia 40 ya msamiati wa kiingereza imeibwa toka kwenye Kifaransa. Sisi kiswahili chetu kinachukua chini 20 ya mchango wa lugha zingine za nje ikiwemo kiarabu, kijerumani, kireno na hata ki-english. Habari ndo hiyo!!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 22, 2010

    kama kiswahili ni 75% kiarabu kwahiyo hina maana mswahili akikaa na mwarabu wanaelewana kabisa 75 % ni tosha kabisa watu wa lugha hizo mbili kuelewana!! mimi nazani Si kweli kwani hata kuna maneno meno ya kiswahili yanatumika kwenye kihindi kama gari, dunia so on . nyie semehemu kiswahili kina share few worlds na lugha nyingine hila si 75% mbona mnatufanya kama sisi wajinga bana !!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 22, 2010

    nataka kuwa saidia hao wengine kiarabu imechangia kwa maneno yote yanao anzia gh.kh.fh.th.kwa mfano ghali,kheri,fetheha ukiona neno lipo na hizo herufi ujuwe ni kiarabu na neno herufi ni kiarabu nacho

    ReplyDelete
  13. mfukunyukuJune 22, 2010

    hahahahahahaha Anon wa Tue Jun 22, 07:29:00 AM hapo umemaliza kabisa. watu wanatamka asilimia kimchezomchezo tu. asilimia 75 ni sawasawa na robo tatu. chukulia mfano umenunua mchele dukani ambao asilia 75 una mawe/mchanga. huo si mchele tena bali ni mawe.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 22, 2010

    sisi kwa waarabu tumechukua maneno si lugha ,kila lugha inampangilio wake kiswahili unaposungumza au kusoma si sawa na kiaarabu ila tumechukwa maneno

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 22, 2010

    mfukunyuku umehit point

    hoa ni watumwa wanaodai kiswahili ni kiarabu

    lugha zote duniani zianaazima manenotoka lugha nyingine
    kiswahili ni chetu na sio cha waarabu.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 22, 2010

    Kiswahili kina maneno mengi sana kutoka lugha ya kiarabu lakini pronounciation ni za kibantu hiyo lazima muelewe, na wale ambao wanaweza kuelewa mwarabu akizungumza ni watu wa pwani tu ambao kiswahili ndio hasa lugha yao, wengi kutoka bara huwa hata kiswahili chenyewe wanakizungumza kiluga za kienyeji.
    Tunatofautiana sana kimatamshi, akizungumza mzaramo na muhehe utaona tofauti kubwa kwenye matamshi na labda wasielewane vizuri, akizungumza msambaa na muhaya pia utaona tofauti hiyo, lakini mzaramo na msambaa wakizungumza kwa hakika maelewano hapo ni 100%.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...