Mdau Aron Msigwa wa Idara ya Habari (MAELEZO) akiwa na mai waifu wake Yunitha Estakio mara baada ya kumeremeta hivi karibuni jijini Dar. Msigwa ni mmoja wa wanalibeneke ambaye amekuwa akitoa mchango mkubwa wa taswira mbalimbali katika Globu ya Jamii. Hongera sana Aron na Yunitha. Mmependeza sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. He kaka kumbe ushakomba jiko?mbna kimyakimya hiyo!vijana mnatisha itabid tuangalie ustaarabu sasa.ila mmependeza!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2010

    Hongera kaka Aroni nimefurahi saana kuona unavyomeremeta ila mbona kimya ndugu yangu?Any way maisha mema ya ndoa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...