Naibu Spika Mh. Anna Makinda akisoma dua kabla ya kuanza kwa kikao cha Bunge asubuhi hii mjini Dodoma, kwa mujibu wa kituo cha TV cha TBC ambacho kinarusha live mkutano huo
Wabunge wakiwa wamesimama wakati wa duo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2010

    whats so special??

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2010

    Nadhani wabunge walikuwa wamechelewa kuingia Bungeni kama siyo kutokuwepo kabisa (kuwa katika majimbo yao kwa ajili ya uchaguzi mwaka huu)!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2010

    Hilo ndo bunge letu lenye wabunge zaidi ya 300. viti vyeupee. wanasubiri kurudi tena Oktoba. bongo tambarareeeeeeee.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2010

    Hilo ndio Bunge letu inaonekana Wabunge hawahudhurii vikao vya Bunge Je ndio wameanza mchakato wa Kugombea hivyo vikao vinaweza kuwapotezea muda.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2010

    A Black African Father and Son are traveling from USA to London...the pilot
    announced:
    "The fuel tank is getting empty,we have to throw out the baggage."
    Baggage were thrown.
    After a while,pilot announces:
    "The plane is still too heavy,i am very sorry but we have to start unloading
    passengers...
    And to make it fair as possible we will do it in a alphabetical order...
    Are there any Africans on board?"
    No answer.
    "Ok,any Black people on board?"
    No answer.
    "Ok...any Colored people?"
    No answer.
    "Hmm...any Dark people?"
    Still no answer.
    Then the boy asks:
    "But dad...i thought you said that we are proud African Black Colored Dark
    people?"
    "Yes my son...but today we are Niggers!! lol

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 22, 2010

    wabunge wako majimboni au? mbona bungeni kweupeeeeeeeee!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 22, 2010

    HIVI KANUNI ZA BUNGE ZINASEMAJE KUHUSU KUTIMIA KWA KORAMU YA WAJUMBE/WABUNGE BUNGENI ILI KUJADILI MADA MBALIMBALI. NA JE NI KWELI IDADI KUBWA YA VITI VINAVYOONEKANA WAZI KWELI HAWA WATU WAMEOMBA RUHUSA YA KUTOKUFIKA BUNGENI NA WAKARUHUSIWA AU WALA HAWAKUOMBA RUHUSA. NAFIKIRI HAPA KUNA HAJA YA KUFANYIA MAREKEBISHO KANUNI ZA BUNGE ILI AIBU AU UTOVU WA NIDHAMU KAMA HUU WANAOTUONESHA WABUNGE WETU TULIOWACHAGUA KUTUWAKILISHA BUNGENI WAADABISHWE. KUNA SIKU TBC WALIAMBIWA WASIRUSHA LIVE MAANA BUNGENI KULIKUWA KUNA WACHACHE SANA BADALA YAKE IKABIDI WAONESHE MPIRA

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 22, 2010

    Naibu Spika anomba dua kuombea viti vitupu bungeni, Kweli kodi yetu inatumika vibaya.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 22, 2010

    hina maana viti vya bunge ni vingu kuliko wabunge or ???

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 22, 2010

    Kweli homa ya uchaguzi...........wako wapi?

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 22, 2010

    wabunge wenyewe wako wapi kaka?????????? nchi hii bwana tunapelekwa kijinga nashangaa spika na ukali wote anashindwa kuthibiti tabia mbovu ya utoro iliokithiri kwa wabunge.aibu ukumbi wa kisasa lakini hakuna la maana.hebu mtizame bunge la kenya na nchi nyingine ukumbi full masaa yote,ndio maana nimeamua nisipige kura mwaka huu wizi mtupu

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 22, 2010

    Hee!! mbona mjengoni kweupe ? kwani mechi za worldcup zishaanza sahizi ??

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 22, 2010

    Wako wapi wabunge?

    Hivi ulazima wa kuwahi kazini unawahusu watumishi tu na sio pia hawa waajiriwa wetu toka majimboni?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 22, 2010

    Kweli wabunge wanaoitwa "viti" wamesimama, ndio maana watu wanapigana vikumbo kuingia bungeni hata wasomi wetu. Kama tabia za wabunge wetu zipo hivi, tutawalaumu vijana wetu?

    ReplyDelete
  15. Nimeangalia idadi ya wabunge waliosimama na viti vitupu nikaona kuwa mahudhurio ni hafifu mno. Sijui kwa nini hakuna utaratibu wa kutimia kwa quorum ili angalau nusu ya wabunge wawepo kikaoni wakati huo.
    Haifurahishi macho ya watazamaji kukodolea macho viti vitupu vya bunge. Tunataka kuwaona wabunge wakiwa kazini...

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 22, 2010

    VP KAKA MICHU, VITI HAVIKALIKI TENA VIMEKUWA VYA MOTO?????

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 22, 2010

    Anko Michu Mbona viti viko wazi? au ndo tuseme sasa wako busy na majimbo yao?



    Nkya
    a-town

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 22, 2010

    mbona siti nyeupe?hazina wawakilishi?

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 22, 2010

    Mahudhurio bungeni mmmmhhhhh! Au wako vijijini wamalizia utekelezaji wa irani ya uchaguzi kwa kugawa vyandarua na pikipiki????

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 22, 2010

    moja, mbili, tatu, nne, tano, sita, saba,.........kumi. Du kwisha habari yetu, tusubiri October tufanye maamuzi waTz. Haiwezekani hawa jamaa wanatutania. Ni kwamba wapo kwenye kampeni za siri au wapo wamelala kwa kuchelewa kuangalia kombe la Dunia? lakini mchezo wa mwisho si unaisha saa 5?
    Haya bwana, Yote maisha,

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 22, 2010

    We Ankal huu ni uchokozi sasa,ndio nini kuonyesha viti tupu na kusema wabunge wakiwa wamesimama kwa dua!!!Wenzio tuko busy majimboni huku maana mavuvuzela wanapita pita sana huko,wasijeharibu ulaji.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 22, 2010

    Yaani hata kumi(10) hawazidi!!!Kweli pesa ya umma inaliwa wazi wazi.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 22, 2010

    LICHA YA VITI KUWA VYEUPE KUNA WABUNGE HAWAJAWAHI KUCHANGIA MADA KWA KUONGEA HATA SIKU MOJA, MFANO MZURI NI MBUNGE WA ILEJE,HUYU JAMAA ANAKULA PESA TU JIMBO LAKE LINAONGOZA KWA UMASKINI MBEYA HAKUNA BARABARA AFU YEYE ANAKAA BUREEEEEE TU BUNGENI, HAFAI KWA KWELI
    ANKO USIBANIE HII KOMENTI SISI WANANCHI WA ILEJE TUMECHOSHWA.!!!!!!!!

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 22, 2010

    hakuna la kushangaa, kwani hujui wako wapi? Kanyaga twende

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 22, 2010

    sasa bunge linaongezwa la nini? viti vinatosha kabisa kwa mahudhurio haya, hata kama wataongezeka wabunge 100, maanake ukifanya hesabu ya haraka hakuna wabunge hata 50 bungeni hata tukionyeshwa picha ya bunge lote. Wasipoteze hela ya walipa kodi bure kwa kurekebisaha bunge.
    sijawahi kuona bunge limejaa, kama ni siku ya kuapishwa wakakae kwa wageni.
    Mabunge mengine watu wanababa kama shule na zinatoka hoja zenye akili, hawa wamekaa kwa starehe ndio wanafanya vituko.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 22, 2010

    Ama kweli mtego haumnasi aliyeutega!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 23, 2010

    HIVI WASIPHUDHURIA BUNGENI WANALIPWA POSHO PIA?

    KAMA WANALIPWA HIYO POSHO NI YA KUHUDHURIA WAPI? MNADANI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...