Wadau wa Arusha wakijipanga foleni kununua decoder katika kituo cha kampuni ya StarTime tayari kwa kufaidi kabumbu la kombe la dunia. Decoder hizo zinauzwa kama njugu wiki yote hii. Picha na Kipepeo Tours

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2010

    Huu ni wizi na upuuzi kuna tofauti gani na gavana za magari.upuuzi upuuzi mtupu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2010

    na world cup ikiisha watazifanyia nini? kama hawakuwa na haja nazo huko nyuma?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2010

    wewe unayesema watazifanyia nini mpira ukiisha kumbuka chanel 30 si mpira pekee kuna muzic tamthilia na kwa taarifa tbc 2 itakuwa kwa wale waliolipia tu kwa hiyo kuanzia nusu finali kama una kingamuzi chao upati mechi na ligi za ulaya zitakuwa humo uanata vya bure wakati watu watoka jasho

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 12, 2010

    WORLD CUP IKIISHA WATAENDELEA KUANGALIA NA CHANEL ZINGINE PIA ILA KWA WALE WASIO NA UWEZO WA KULIPA 9000 KWA MWEZI NDIO WATAKUWA NA SHIDA .

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 12, 2010

    Acheni kupenda dezo, hii decoder ya startimes inatuingiza kwenye dunia ya digitali ambayo TBC imekuwa ya kwanza hapa Tanzania kutoa huduma ki Digitali. Hii decoder ni muhimu sana na kila anayehitaji mawasiliano ya tv yaliyotulia hatashindwa kulipa 9000 kwa mwezi. Hongera Mh Tido Mhando. Unaijua vyema secta ya habari. Hans

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 12, 2010

    mdau wa Sat Jun 12, 06:48:00 AM umeshindwa kuelewa point ya suali langu. Hata kama kuna channel 4 tu. suali ni kuwa channel zote hizo hazijaanza jana au leo, na hawakununua hizo decoder, lakini kwa vile kuna mpira kila mtu anataka mmoja. kwa nini hawakununua siku zote hizo? jawabu ni kuwa hawakuwa na haja nazo na ndio nikauliza watazifanya nini baada ya world cup? get the point?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...