Usisajili namba zako za simu TU bali pia majina ya vikoa vya .tz (.tz domain names) kwa ajili ya tovuti (website) na mawasiliano kwa njia ya barua pepe. Usajili wa majina ya vikoa vya .tz hauna kikomo.
Wahi kusajili sasa kabla jina la biashara/
huduma yako halijasajiliwa na mtu mwingine.

Wasiliana nasi:
Simu - (022) 277 2659;
Barua pepe –
info@tznic.or.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...