Mzee Saria (mwenye koti jeupe juu) akisimamia mojawapo ya mbio katika siku ya kwanza ya mashindano ya riadha kwa vijana wa nchi za afrika mashariki. hii ni leo asubuhi uwanja mpya wa neshno ambapo hii ni mara ya kwanza kutumika kwa michezo mingine mbali na soka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2010

    NI AIBU SANA KULETA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA RIADHA TANZANIA BILA YA PROMOSHENI YA KUPATA HATA WATAZAMAJI. HII INAPUNGUZA SANA MSISIMKO NA HATA KUWAVUNJA MOYO WANARIADHA WETU. VIONGOZI INABIDI WAAMKE NA KUFANYA KINACHOTAKIWA. KAMA WATU WANAWEZA PROMOTE UREMBO NA WATU WOTE WAKATAKA KWENDA KUANGALIA INAKUWAJE TUNASHINDWA KWENYE RIADHA?
    MZOZAJI

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2010

    tanzania wanahitaji kila kitu kufundishwa hukuona juzi walipelekwa semina ya mchezo wa pooll hhhhhaaaaaaaa hahhhaa kwanza hapo wangepata hela kibao... Uwanja wote huo uko empy na hakuna wakuangalia loooooo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2010

    RIADHA IMEKUFA TANZANIA MAANDALIZI HAKUNA VIONGOZI WA RIADHA, TOC, NA BARAZA LA MICHEZO WANGETAKIWA WAPROMOTI MICHEZO HII ILI WATU WAJE WAONE INASAIDIA KUJENGA MORI KWA VIJANA WETU.
    OLIMPIKI NI MWAKA 2012 HUKO LONDON, SASA SERIKALI INGELIANGALIA HILI SUALA LA RIADHA UPYA.

    VIONGOZI WA NGAZI ZOTE KATIKA RIADHA KITAIFA WAFUKUZWE KAZI ILI TUANZE UPYA,
    NGUVU MPYA ARI MPYA NAONA ITASAIDIA.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 23, 2010

    Si ukweli kama ni mara ya kwanza uwanja huo unatumika kwa michezo mingine zaidi ya soka, mwaka jana ulitumika kwenye national athletics competitions..

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 23, 2010

    Ngd Michuzi, elewa blog yako inasomwa na watu wengi, wa mataifa mbalimbali ambapo kwa upande mwingine unawawezesha kujifunza lugha ya kiswahi tena fasaha.

    Kuna maneno mengi unayotumiaga ambayo yanapotosha ama sio sahihi, mfn: neshno (national), my wife wake,nk!
    Hivo jitahidi kutumia maneno ya kiswahili fasaha,ili kuwawezesha wengi kuelewa na kujifunza kiswahili vzr kupitia blog yako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...