Mwanasheria mkuu wa serikali jaji Fredrick Warema(kushoto) akimtunikia cheti cha kumaliza mafunzo ya usimamizi na utayarishaji wa mikataba ya miradi mikubwa kwa ubia kati ya sekta binafsi na sekta ya umma mwanasheria wa wizara ya nishati na madini Bi. Salome Makange. Picha na mdau Novatus Makunga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2010

    Mwanasheria Mkuu ni huyo wa Kushoto? Ama Kulia? Kwa usomaji wa picha? Ninavyofahamu mie usomaji wa picha ni tofauti na watu wakiwa 'live'.

    Nadhani kwa usomaji wa picha Mwanasheria Mkuu ni huyo aliye Kulia, na Bi. Salome ni huyo wa Kushoto.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2010

    so proud of you sista!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2010

    Confusing caption man?
    Mdau Mbije,A

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...