Sehemu ya wanafunzi 470 wa shule ya msingi ya Green Valley wakiwa katika maandamano ya hiari kutoka arusha mjini kwenda Monduli mjini,umbali wa kilometa zaidi ya arobaini kupinga vitendo vya ukeketaji na ndoa za utotoni kwa wasichana. Picha na mdau Novatus Makunga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2010

    Natafuta mkopo binafsi - sio wa benki nahitaji hela kidogo na kwa haraka sana. Ntatoa na riba - nijulishe ntapataje plz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...