Home
Unlabelled
MICHEZO YA UMISETA 2010 YAANZA DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hahahaha hii michezo inanikumbusha mbali sana, watu walikuwa wafurahia sana enzi hizo kwani ulikuwa nimuda muafaka wa mambo yetu kwa kujitanua
ReplyDeletehii michezo wangekua na hela hao wachache wanaoshinda wangeweza kuwasaidia kuendeleza vipaji vyao wangetuwakilisha kimataifa sana tu.
ReplyDeleteNakumbuka mimi nilikwenda mbali sana na hii michezo. Nilifika mpaka ngazi za kitaifa. Nilikua nakimbia mita mia moja hujapata kuona...Na nikiangalia Olympic wasichana wanavyokimbia nilikua sambamba nao kabisa..mimi nilikua nakimbia 12 to 11 seconds na hapo tulikua hatuna mazoezi wala dietitian...Imagine ningekua kwenye kambi miaka miwili ingekuaje...Apolo Ohno asingenikuta kabisa...Vipaji vingi tu vinapotea Nchini kwetu