MDAU EMMANUEL JOSEPH ALIYETULETEA TASWIRA HIZI (SHATI JEUPE MBELE) AKIWA NA TIMU YA WASICHANA YA MPIRA WA MIGUU YA TEMEKE ILIYOSHINDA ILALA BAO 7-1. HII ILIKUWA SIKU YA KWANZA YA MICHUANO YA SHULE ZA SEKONDARI MAARUFU KAMA UMISETA ILIYOANZA IJUMAA NESHNO YA ZAMANI JIJINI DAR
TIMU YA WASICHAN YA ILALA
MBIO ZA MITA 200


MRUKA KIUNZI AKIRUKA KWA USTADI ZAIDI.
MITA MIA NNE WAKIJIANDAA

MKUFUNZI AKIWAHAKIKI WASHIRIKI KWA MAJINA ILI KUJUA KUWA WOTE KAMA WAPO
KURUKA CHINI
MSHINDI NAMBA MOJA WA KWANZA KUSHOTA AKIJIWEKA TEYAI KWA AJILI YA KUKIMBIA NA KUHAKIKISHA USHINDI HUO







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2010

    Hahahaha hii michezo inanikumbusha mbali sana, watu walikuwa wafurahia sana enzi hizo kwani ulikuwa nimuda muafaka wa mambo yetu kwa kujitanua

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2010

    hii michezo wangekua na hela hao wachache wanaoshinda wangeweza kuwasaidia kuendeleza vipaji vyao wangetuwakilisha kimataifa sana tu.
    Nakumbuka mimi nilikwenda mbali sana na hii michezo. Nilifika mpaka ngazi za kitaifa. Nilikua nakimbia mita mia moja hujapata kuona...Na nikiangalia Olympic wasichana wanavyokimbia nilikua sambamba nao kabisa..mimi nilikua nakimbia 12 to 11 seconds na hapo tulikua hatuna mazoezi wala dietitian...Imagine ningekua kwenye kambi miaka miwili ingekuaje...Apolo Ohno asingenikuta kabisa...Vipaji vingi tu vinapotea Nchini kwetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...