



Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani huyu Mbunge wa Singida inaelekea anajituma, kwani namuona mara kwa mara kwenye shughuli na anajichangaya vizuri na wananchi wake. Wabunge wengine hawafanyi lolote zaidi ya kushibisha matumbo yao, hata kama na yeye anakula japo pia anafanya na vitendo. Im so proud of you MO keep it up a good job, Singida needs so much from you.
ReplyDeletethis guy looks very sincere, caring and honest... i saw his pictures before here, i think he was talking to a disabled sister (he sat down, on the floor with her). I think it all comes down to liking what you do, and its not always about the money. Too bad he cant run for presidency because if he does i will be the first one to vote for him.
ReplyDeleteThank you MD keep up the good work, you are a true MP, please continue to make changes.
kwa kweli kaka mo anajitahidi mno, sote tunaona, ingetakiwa na wengine wafanye hivi tuone.
ReplyDeletejamaa ana upendo sana huyu. nimefurahishwa sana.
ReplyDeletesio siri MO anajituma sana na anafanya kazi zake kwa moyo mmoja. wengine matumbo yatapasuka bungeni, maana huyu kama mnakumbuka hata mpira huwa anajichanganya sana, nakumbuka huwa anacheza na wachezaji mpaka anavua shati kwa furaha. ni mfano wa kuigwa.
ReplyDeleteDu ! hivi viti vinaitwa "Vimbwete" au "Vimbweta" wanaojua historia ya hili jina watufafanulie mie kumbukumbu yangu inaniambia ni vimbwete hivi ....
ReplyDeletei have seen him once in mwanza and he really loook stylish
ReplyDeleteProf Mbwette ( yule aliepewa jukumu la kurundika wanafunzi bila nyezo muhimu pale mlimani) alitumwa aende nje ya nchi akaangalie vyuo vingine vinawezaje kukidhi mahitaji ya wanafunzi. Alirudi akawaambia UDSM wajenge hayo mabenchi ili wanafunzi wakiwa wanasubiri vyumba kule wapumzike na wajisomee. Kama kawaida wajukuu wa mzee wakalinasa hilo na kulibatiza VIMBWETE.
ReplyDeleteJina sahihi ni vimbwette. Jina hilo limetokana na jina la Prof. Tolly Mbwete (ambaye ni Engineer by profession) aliyebuni wazo la kujenga madawati ya aina hiyo wakati yuko University of Dar es Salaam.
ReplyDeleteProf. Tolly Mbwete hivi sasa ni Vice Chancellor wa Open University of Tanzania.
ni "vimbwete" wale waliowahi kukuaa kwenye mdigrii, nje ya Nkruma, TBS na kwingineko mlimani wanaelewa vizuri sana kuhusu hili.
ReplyDeleteNice to hear that Prof is now at Open University as VC. Hiyo habari nilikuwa sina .Thanks. Praise.
ReplyDeleteJina sahihi ni VIMWETE! Nakikumbuka kile cha pale karibia na iliyokuwa Faculty of Engineering wakati huo (nje ya geti la Engineering kwa mbele kidogo kama unaelekea DARUSO ama mabwenini), pale kwenye majani yale ambayo pia ni njia, kwa mbele yake kuna kamfereji hivi kadogo; pembezoni mwa Theater Rooms zile. So ni VIMBETE na sio VIMBWETA.
ReplyDeleteMo utukumbuke katika ufalme wako mheshimiwa. Tunashukuru kwa misaada ila tunakuomba ile timu inayoitwa African Lyon, iwe ni timu ya Singida ili nasi tuone ligi kuu.
ReplyDeleteJingine Mheshimiwa mbunge ni yale maombi yangu binafsi kwako ambayo tayari yako mikononi mwa msaidizi wa Mr. Hassan, yaani dada Sabrina. Nitakushukuru kama tu maombi yangu yatafanikiwa ili mke wangu naye awe mjenzi wa taifa kupitia rasilmali zako. namba ya mawasiliano ni 071 524 3201
hahaha
ReplyDeletesiku hizi jina la vimbwete halijulikani, linalojulikana ni VIMBWETA. LAKINI VINGI VIMEBOMOKA-BOMOKA.
nimemisi sana hayo majina
vimbweta,
mdigrii,
atb,
thieta,
yombo
holl wani
holl siksi
revo skwea
fass
daruso
hil pak
caro wa hil pak
tembo kadi wa hil pak
na zaidi KUNJI.
DUH.