FAMILIA YA MAREHEMU BAKARI MAHARAGE JUMA WA UPANGA DAR ES SALAAM WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA YAO BIBI FATUMA MHINA KILICHOTOKEA DAR ES SALAAM TAREHE 19 JUNI SAA NNE ASUBUHI KATKA HOSPITALI YA TUMAINI DAR ES SALAAM.
MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NAMBA 595 MTAA WA KALENGA UPANGA MAGHARIBI DAR ES SALAAM, NA MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA JUMATATU BAADA YA SALA YA ALASIR KIJIJINI NIROBI, GOMBERO, TANGA.
HABARI ZIWAFIKIE UKOO WA MWAWADO,
UKOO WA MICHUNGWANI,
NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POPOTE WALIPO
-BALOZI MOHAMED MAHARAGE JUMA
Ina lilahi wa ina ilahi rajaun
POLENI SANA
ReplyDeleteIna lilahi wa ina ilahi rajaun.. poleni sana mungu awape nguvu kwa wakati huu mgumu.
ReplyDeleteBalozi Mohamed Maharage. Poleni sana. Naomba unifikishie pole zangu kwa wanafamilia wote. Inna Lilahi wa Illahi Rajiun. Twamuomba Mola awape moyo wa subira inshallah.
ReplyDeleteKassim, Moh'd, na wanafamilia wote poleni sana na tunamwomba Mola amlaze mama mahali pema peponi.
ReplyDeleteInkishafi.
RIP Bibi. Poleni sana Uncle Mohammed na familia yote ya akina Maharage. INNAH ILLAH WA INNAH LILLAH RAJIUN
ReplyDeleteNURU MBAROUK K M
Mungu amlaze mama pema peponi. Poleni sana wote
ReplyDeletePOLENI SANA WAFIWA MUWE NA SUBIRA KATIKA WAKATI HUU MGUMU BALOZI MWAWADO POLE SANA.
ReplyDeleteAHSANTE.
KWA NIABA YA UKOO WA MAREHEMU BRIGEDIA H.MRISHO.
{JUMAPILI}
POLENI SANA NDUGU ZANGU KWA MSIBA WA MAMA YETU/BIBI. MWANAIDI NA LITUNGENI NA NDUGU WOTE POLENI SANA. MUNGU AILAZE ROHO YAKE PEPONI. AMIN.
ReplyDeleteTOKA KWA MAMA DYAMWALLE SAFARINI MAREKANI.