Hi!
Mpiga picha wa Globu ya Jamii Juma A. Liganya leo kamnasa mjomba ankal mmoja Tukuyu Mjini akijiandaa na kuangalia Kombe la Dunia. Yaani migomba yote inayoziba dishi la DSTV chali, haina maana kwa sasa. Uwwiiiiii...Tufwilye!
Picha na juma Liganja


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2010

    nyambala...kazi kweli hili kombe
    kazini/biashara hakukaliki

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2010

    Asante Mithupu, hapo ni Staff qtrs kiwandsa cha chai Katumba Tukuyu.
    Nikirusha jiwe toka nyumbani kwangu Katumba linaangukia hizo nyumba.
    Ndaga Malafyale.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2010

    Uncle,nimeona mambo yako huko.Kweli kombe la dunia limeleta changamoto maana usafi wa huko juu ulisahaulika lakini kwa kukwea tu lazima kusafishwe.
    Kila la heri.
    Mama P.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2010

    Mangiiiiiiiii Juma, waja lini tena Dar.asante kwa kututumia vitu vya huko Tokyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...