Mo akihutubia walemavu mkoani Singida leoMbunge wa Singida Mjini Mohamed Dewaji a.k.a MO akihutubia wananchi wenye ulemavu mkoani humo leo jioni. Wengine waliokaa meza kuu ni mwenyekiti wa chama cha walemavu wa viungo Mkoani Singida Juma wawa, katibu mkuu wa maalbino Ziada Msembo, Katibu wa chama mkoa wa Singida Sara Naligwa. Mbunge huyo alitembelea jimbo lake baada ya kutoka bungeni jana asubuhi kwa ajili ya kukutana na walemavu wa Mkoa huo katika ukumbi wa mabula kanisa Katoliki jimbo la singida na kusikiliza shida zao.
Mbunge MO akisalimiana na mmoja wa walemavu aliyefika katika mkutano huo na mbunge wake
Mbunge MO akisalimiana na mmoja wa walemavu wa ngozi waliofika katika mkutano huo
Mwalimu wa shule ya msingi Minga Fatuma Abubakari ambaye ni mlemavu wa miguu akiteta jambo na Mbunge wake Mh.Mohammed Dewji “MO” ambaye anaonesha upendo na kujali kwa kukaa kitako na kumsikiliza mama huyo matatizo yake.
Mbunge MO akisalimiana na mmoja wa walemavu aliyefika katika mkutano huo





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2010

    At list this ppl can act well with the poor!! wabunge asilia wana vimbiana vitambi tu na kulala bungeni!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2010

    Is Mohammed an eligible bachelor or is he married? You cant help but admire the guy.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2010

    katika wabunge huyu ni mmoja wa wale wanaofanya kazi zao kwa vitendo, penye sifa basi mtu apewe sifa yake, nadhani kuna haja ya kupunguza wale wazee bungeni hakuna wanachofanya majimboni kwao, anyway may be wao hatuwaoni kwenye mitandao. Big up Mo, u the best.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 12, 2010

    Kaka Michuzi.
    Hao ndio wabunge tunataka hata kama wananufaika wananafasi ya kushare gain with the poor. I can see the humanity aspect in MO sio hawa asilia wanatusaliti sana. Kusinzia kila siku nahisi wana sleeping sickness.Mpe big up sana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 13, 2010

    Huyu kijana ana good initiations katika maendeleo,ni mfano muhimu kwa vijana wengine katika siasa.
    ila ujana bado unamsumbua,Tight T-shirt pamoja na sun glasses hazikuendana na shughuli,na epuka kuweka mikono mfukoni unapoongea na mwananchi
    mdau Tanga

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 13, 2010

    MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI....kATIKA WABUNGE WA BONGO HUYU MO NI MFANO WA KUIGWA KWANI MARA NYINGI YUPO JIMBONI KWAKE NA ANASIKILIZA VIZURI MATATIZO YA WALOMPA KURA....sio huyo Msindai kazi kunenepa tuuu.
    BIG UP MO ....UNAKUBALIKA MWANAWANE!
    Mdau wa London.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 13, 2010

    yani mpaka chozi limenitoka alivyokaa hapo chini kuongea na huyo mama,kwakweli tunahitaji wabunge kama hawa,sio yale yenye mavitambi kule bungeni.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 13, 2010

    ETI UJANA UNAMSUMBUA KWA KUVAA MIWANI NA NGUO ZA KUBANA NA MKONO MFUKONI!!!1 KAMA MCHANGIAJI MMOJA HAPO JUU, NAPINGANA KWA ASILIMIA ELFU MOJA NA MCHANGIAJI HUYO, MIWANI HAIMAANISHI NI UJANA, INAWEZA KUWA YA MACHO AU YA KUZUWIA UKALI WA JUA MTU YOYOTE ANAWEZA VAA, NA HAKUNA UBAYA WOWOTE KUVAA NGUO ALIZOVAA KWANI KILA MTU MA LADHA YAKE YA NGUO ANAZOPENDA KUVAA NA PENGINE HUTEGEMEA NA HALI YA HEWA, HUWEZI KUVAA MOKOTI KATIKA HALI YA JUWA KALI, NA KUWEKA MIKONO MFUKONI HAKU MAANISHI KITU CHOCHOTE KILE NI KITU CHA KAWAIDA TU

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 13, 2010

    that is our next prez

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 13, 2010

    Picha ya nne inatutia shaka! Mmmnnn... tunatumai viliishia hapo.

    Pongezi kwa kazi nzuri ya kusaidia watu wenye uhitaji katika jamii.

    Mungu na akuzidishie. Imani yako imekuponya. Amen.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 13, 2010

    kwakweli nashindwa hata nisemeje maana huyu mbunge mtu mzuri mfano wake hamna mungu aandelee kumbari azidi kutumikia wananchi yuko na wanyonge pasipo ubaguzi ni mbunge mzuri sana wana wanasingida wamempata anasaidia watu sana tu sio km hawa mafisadi ikifikia wakati wakura ndio wananchi wanawaona ili wapate kura ole wao siku zao zinhesabika hongera sana mbunge wa singida mungu akutangulia kwa kila jambo ulifanyalo na akupe maisha marefu duniani

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 13, 2010

    Huyu Mheshimiwa ni excepionally brilliant, caring and humble despite being a billionaire.

    God bless you Hon. Mo!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 13, 2010

    Mimi nampenda sana huyu mbunge toka alivyopeleka matunda kwa wagonjwa hosptal basi kura yangu alipata pale pale...

    Mtaanza hao wabunge wengine nao ndio wanaondoka Dar ili kurudi huko vijijini mwao kutafuta kura...

    he is cute, smart and a good leader...

    Is he eligible to be a president?

    Ndio maana manchi makubwa viongozi wao wengi ni matajiri tayari kwa hiyo wanafanya kazi kutumikia nchi sio kutumikia matumbo yao...Ukichagua maskini cha kwanza atataka kula kinachobaki ndio awatupie waliompa kura...


    Mdau number 2 hata miye najiulizaga sijui ni private property au bado ni public property huyu...

    Huyo anayesema v-tshirt sijui nini..well ana shape ya kuonyesha. hana tumbo na mavitambi ya bia kwanini asijivalie anavyotaka..wee vaa kitight chako na tumbo la bia sijui utapita wapi na kuhusu sun glasses sio kujionyesha bali ni kuelimika anafahamu madhara ya direct sunlight...you need some shades.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 13, 2010

    TANZANIA hatujali dini,rangi au wala asili yako wapi,Huyu jamaa(MO) ana kila dalili ya kuwa our next president.KWANI RAIS NI LAZIMA AWE MMATUMBI?????TUMEKUWA NA MARAIS WAMATUMBI KWA ZAIDI YA 40 YEARS na maendeleo ni ZERO.Wengine ndo wamenenepeana hadi wanataka kupasuka.Lets do it,huyu lazima aje our next prezidaa.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 13, 2010

    wewe UB BLOGGER vipi na wewe eti billionaire.
    mavuzi!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 13, 2010

    Kwa wale wanaotaka kujua Marital Status ya Mo Dewji ni kuwa huyu jamaa ameoa very beautiful young woman (mwarabu mwenzie) and is father of two beautiful young daughters. Kwa viwango vya Tanzania, I really admired them kwani sijaona familia simple na nyenyekevu namna hii haswa kwa mtu ambaye billionea. Kwa sote tunajua makeke ya Wabantu wenzetu kama akina Chenge (Mzee wa Vijisenti:-) and Company:-)...We unajua mi ni nani:-)! ebo

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 13, 2010

    Obama -mweusi kawa rais US na MO kuwa rais wetu hakuna tatizo kwani yeye pia ni mzaliwa wa Singida!!!iko siku tutampa urais tu vitu vyake anafanya kwa vitendo sio majungu.
    Mdau wa London

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 13, 2010

    jamani watanzania mbona tunataka kuwa kama chifu wa Tanga kwa carl peterz...yaani kwa kuona hizi picha watu machozi yamewatoka na wako tiyari kumpa..kura awe raisi, chonde chonde jamani, hivi nyie mnajua chifu wa tanga alipewa nini na yule mjerumani??...japo huyu mwarabu sio dokta lakini naona ngozi pia inawachengua tusiwe vichwa maji wa siasa, hizi ni siasa, inatakiwa afanye hivi na ni kazi yake..mpaka wengine wanamuita bilionare...wewe!!!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 13, 2010

    Kwa sisi tunayemjua Mo tangu zamani, tunajua kuwa siku zote ni mtu wa nia njema (at least tangu shule). Mimi nashauri kuwa, kama mtu akiamua kuwasaidia binadamu wanzake, tusiwe na ugomvi na hilo na tuli-encourage. Kama mtu hapendi kuona watu wanatimiza wajibu wao wa utu, basi wanyamaze na sio kuanza kutukana. Full stop.

    ReplyDelete
  20. mtafutajiJune 13, 2010

    Mi nasema hivii, huyo mke wake yaani ana kazi na amuombee sana huyo mme wake, but seriously na mimi nilishajiuliza sana hivi huyu jamaa/mbunge ni single au, asante leo nimejua. kwakweli he's very attractive, na ati ana fat pocket, OMG it makes him even more good looking na pia eti ni hard working,halafu eti he likes to help wahitaji(kind/caring) what else does a woman want from a man but he's just a whole package. lakini vizuri navyo vina...........

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 13, 2010

    Damn this dude is hot! nimemwona sana kwa JD na uwa namweleza mimi ni secret adimerer.kumbe tuko wengi.his hot and got styel mannnnnn!!!!!.Mwanamme kama huyu hasinivalie Condom wala sivai za kike wacha nife tu!!.offcorse yu salama lakini nimejisemea tu kama ndo angekuwa simjui ndo nimekutana nae! yani hamna cha hard to get! siku hiyo hiyo nampa kudadeku.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 13, 2010

    mo nakuombea upate urais hapa bongo kwani watu kama wewe ndio wanahitajika katika kuliongoza taifa letu.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 14, 2010

    Wabongo ndio manan watu wengine wanatudharau.. yani conclusions mnazotoa hapa na vigezo mnanvyotumia ni masikito.. eti awe rahisi kwa sababu kakaa kitako na mlevu for a photo.. na JK ni hivi hivi wa kuwa tu anaenda misibani basi ni rahisi mzuri... Yani mtu unafikia conclusions za nani awe Raisi kwa vigezo vya kijinga hivyo? Kweli Nyerere alikuwa mtu muhimu sana manake hapa angewambia ..kama mnampenda mkanywe na chai .. kwenye mambo serious jamni tuwe serious kidog.. hasa kwenye reasoning zetu duh..

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 14, 2010

    DEAREST MUHESHIMIWA MBUNGE MO....KURA ZANGU NA ZA FAMILIA YANGU NZIMAAAAA UNAZO. WEWE NDO UNAYETAKIWA KUIONGOZA NA KUIAMSHA NCHI YETU YA TZ....KWANZA HUITAJI PESA ZA WANANCHI WALA RUSHWA WALA HONGO. YOU HAVE MY VOTE DARLING.

    MDAU-OBAMA'S COUNTRY.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 14, 2010

    Nimepitia matamanio ya akina dada dhidi ya MO. Kina kaka wengi wanaoa wakiwa na figure nzuri ila wakishaoa akina mama wanasahau kuwapikia balanced diet (japokuwa matumizi wanayatoa) wanawaachia wasichana wa kazi kuwapikia wakisheheni mafuta kibao kwenye vyakula, pesa ya kununulia matunda wanaipeleka kwenye vipodozi.....nk. Jenga mwanamme wako na si kutamani wa wengine.

    Nkyabo- Bongo

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 14, 2010

    Sina uhakika sheria za tume zinasemaje ila kuvaa tisheti za rangi ya chama na picha ya mgombea mtarajiwa wakati kipyenga cha kampeni bado ni faulo!

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 14, 2010

    huyu mtoto fitna za uraisi haziwezi.

    ila kwenye ubunge wananchi wa jimbo lake wana bahati sana.

    wakimtoa huyu watakula wa chuya.

    majimbo mengine watu wanakula wa-chuya kwa uvivu wa kuchagua.

    ReplyDelete
  28. We Michuzi mbona KOMENT yangu hutaki kuitoa kwani mi nimekukosea nini?

    Mbona Mdogo wako Michuzi Jun ya kule ameitoa?

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 14, 2010

    Wizi mtupu!!!!

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 14, 2010

    We michuzi umezidi kuminya mawazo ya wengine, yaani wee unataka pos., mtu akiwa nag. basi mawazo yake unayaminya! huo sio utu!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...