ankal akiwa na chupa ya kuzimia moto mkono mmoja na mwingine kanga'ng'ania laptop ya libeneke huku akiwa kazungukwa na wafanyakazi wa hoteli aliyofikia hapa sauzi baada ya king'gora cha moto kulia na kila mtu kutoka mkuku nje. bahati ilikuwa rihezo tu na mambo yalikuwa mswano. ikumbukwe vuguvugu la kombe la dunia bado lipo sauzi na kila ijumaa karibu kila mtu huvaa jezi. ankal kapiga ule uzi mpya wa bwawa la maini msimu huu...
ankal akiwa na mdau toka msumbiji nje ya makao
makuu ya MultiChoice kitongoji cha Randburg nje kidogo ya Sandton

ankal akichambua mchezo wa kriketi na wadau toka zambia, msumbiji na ghana studio za MultiChoice
ankal akitembelea studio za kombe la dunia za MultiChoice

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2010

    Ankal, kumbe waSauz nao wanajua Kiswahili? Maana naona hapo studio unachangia hoja kweli kweli!

    Halafu huo mtungi wa kuzimia moto ulivyoushika, jumlisha na hiyo expression yako usoni, mie hoi.

    Haya, pole kwa dhoruba.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2010

    Ankal haiitwi rehasal inaitwa drill...

    lakini naona wee funz o unalo ukaweza kukimbiza laptop wewew baaabu kubwa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2010

    Bibi alikwambia ile t-shirt itakulinda husikii...Haya yote kwa vile hukuvaa ile t-shirt.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2010

    ankal acha kutuyeyusha,kriketi umejulia wapi?hata wanapocheza dar unapajua,haya mshindi alishinda kwa wicket au runs ngapi?je ni one day test au 20/20 ??

    ReplyDelete
  5. Michuzi ni comic kweli lol.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2010

    Weeee?! Don't tell me?

    So it was a false fire alarm?

    Haya, twasubiri Manusura (kiukamilifu).

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 18, 2010

    ankal, waambie Multichoice tunawapenda lakini waache kutulipisha subscription fee kwa kukokotoa kwa kufuata thamani ya dola, waweke ada (subscription)ambayo ni fixed.kama ujuavyo pesa yetu inaendelea kuporomoka kwa kasi na hivyo basi kila mwezi inabidi kulipa zaidi kadri shilingi inavyoshuka ili kupata huduma ya multichoice.

    mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...