Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2010

    Ankal hii ngoma ya kipemba siyo ya kitanga

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2010

    hii itakuwa mkwaju ngoma bilashaka

    ReplyDelete
  3. mavuvuzizela hayooo afu mnasema yameanzia bondeni.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2010

    Babu wa vuvuzela ana mapafu kitu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 18, 2010

    VUVUZELA, HA HA HA MZEE IMETULIA HIYO, GOOD FUNNY, I LIKE THAT

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2010

    Hii si ngoma ya Tanga japo imeshabihiana na ile ya Tanga.
    Hata hivyo imenivutia sana na kunikumbusha ya Tanga nitokako.
    Kusema kweli, kwa mara ya kwanza,
    umetuletea ngoma ya asili ya Kiswahili baada ya kila siku kuona mitindo ya kigeni! Tukumbuke kuwa "mwacha asili si jasiri" walituusia wahenga wa kale! Hongera sana kwa kutoletea ngoma hiyo ya kiasili nikitumaini utandelea kufanya hivyo, kwani wengi wa sisi tulioko ughaibuni miaka mingi, tumechoshwa na utamaduni wa kigeni (wa kizungu!) tunaouiga na kuuthamini zaidi kuliko wa kikwetu!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 18, 2010

    kuna tafauti kubwa baiba ya vuvuzela na tarumbeta hiyo hapo juu. ingawa zinaonekana kuwa na maumbile sawa lakini kuna tafauti juu ya namna ya kuipuliza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...