akiongozana na uongozi wa juu wa chama hicho baada ya kuwasili Musoma
akiongozana na uongozi wa juu wa chama hicho baada ya kuwasili Musoma
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni nyerere kambarage au nyerere mwengine?
ReplyDeleteNyerere atapita tu.
ReplyDeletechadema bana,nyie kila anayekuja mnamkubali tu na kumuachia agombanie ubunge,wengine ni vibaraka wa ccm,watahawahujumu,sijui ccj,mara mabere marando,mara mr 2 na bifu lake,chama kitakufa kama nccr mageuzi na tlp,igeni mfano wa CUF,huingii tu kisha ni maarufu,lazima ufate kanuni.
ReplyDeleteKila Mtanzania mpinga ufisadi ana wajibu wa kumuombea Dr. Slaa kura 6 na hao 6 wakatafute kura 6.
ReplyDeleteMwaka huu ufisadi should go to hell.
(US Blogger)
misupu hawa chadema mbona wameiba rangi yetu cuf ya bendera,bendera ya chadema ilikuwa ni light blue peke yake.mbona kila kitu wanatak kuwa kama cuf,wasituige bwana,sisi ni chama kubwa.haki sawa kwa wote
ReplyDeletekweli ccm wahuni,yani yule muhindi sabodo alotoa milioni mia moja kwa chadema,nasikia amewamwagiwa ccm hela ya ajabu,duh siasa mhezo mchafu.wadanganyika wanaingia kichwa kichwa eti dr slaa for presidet,mtu keshanunuliwa.huyu ndo atakuwa wa kwanza kukubali ushindi wa kishindo wa JK.
ReplyDeletejamaa kajipaka rangi ya nyumba,hizi nyie watu mnajua madhara yake,
ReplyDeleteMusoma ni ya Chadema japo C C M wamepanga kwa Lazma kupora Ushindi ila najua Mungu atasimamia na tunaopenda Haki basi tuungane na wana wa Musoma katika kulinda na Kutetea Ushindi Nyerere Wanamkubali na ana ushawishi mkubwa sana Musoma
ReplyDeleteni kweli naskia huyu kijana ni mtu wa watu sana mie nilimfamu Face book na naskia ana busara na maneno makali yanayogusa hasa katika Status zake Facebook mie ni C C hapa Dar ila namkubali Nyie mliopo Musoma kazi kwenu mchagueni huyo Nyerere
ReplyDeleteChadema bwana,mgombea wa urais anatembea mkoani kutafunata wadhamini? kwanini vijana wa chadema wasifanye kazi hiyo?
ReplyDeletendio maana kamanda wa ffu ras,ktk mahojiano yake na redio free afrika juzi,kampa credt zote JK 2010,angalieni sasa mpaka mwanamziki kakomba wafuasi wenu wa Mwanza kwa kutumia mziki
Watu wengine ni utuumbo mtupu.RANGI na chama vina uhusiano gani?eti chadema wameiba rangi?
ReplyDeleteChama ni sera sio rangi.
KIAZI WEWE.
sasa wewe unayezungumzia kukombwa kwa wafuasi wa chadema na mziki wa ras makunja,lazima uelewe kuwa mziki una nguvu kuliko siasa,pia yale mahojiano ras makunja inaelekea alijipanga kwa nia ya kukomba wafuasi wa upinzania mwanza,mimi nimefuatilia kipindi kile kila ras kila hoja aliyokuwa anazungumuzia alikuwa ana malizia na kuwavuta watu upande wa JK,nikagundua kuwa sio mwanamziki tu bali anayo farasafa fulani kichwani na kipaji cha kuwavuta watu,pale ikawa wasikilizaji hawana jinsi lazima wamfuate
ReplyDeletehivi haya magwanda wanayovyaa viongozi wachadema ni uniforms au?
ReplyDelete