Globu ya Jamii inatoa shukrani nyingi za unyenyekevu kwa wadua wote popote mlipo duniani kwani hatimaye tarakimu inaonesha kwamba mdau wa milioni 9 kutembelea libeneke hili ameshapita na tena amepita hata kabla mchakato wa zawadi haujakamilika. Hivyo safari hii, ambapo spidi ilikuwa kali ya wadau kutembelea kwa wingi, kutakuwa hakuna zawadi bali juhudi zinafanywa kujiandaa kutoa zawadi nono kwa mdau wa milioni 10.

KWELI MICHUZI BLOG TAMBARARE. YAANI JAMAA UMEMNYENGA HIVI HIVI WAKATI ULISHASEMA UNAANDAA ZAWADI YA MDAU WA MIL.9! KINDA OF UNFAIR THING.
ReplyDeleteHongera sana kaka.Bila shaka mdau wa milioni 10 yupo kwenye kona.Keep it up!
ReplyDeleteIts absolutely not fair .. mpeni haki yake jamani mbona mnakuwa hivyo ankal mmekuwaje tena Meku?
ReplyDeleteAnkal unatufanyia hujuma.......Mil 10 sio leo.........Kazi njema
ReplyDeleteMmabo ya Mo Ibrahim hayo Michu. Acha ubanizi.
ReplyDeleteHii inaonekana wazi kuwa ilikuwa ni channga la macho.
ReplyDeleteKuna tofauti kati ya = "its na it's" = nenda nyuma ukasome grammar tena WEWE ULIYESEMA "Its absolutely not fair" YOU SHOULD HAVE SAID OR WROTE IT AS "it's absolutely not fair" as "its" is for possession and "it's" is for short form of "it is"
ReplyDeleteningeshauri mtafiti jinsi hio kaunta inavyofanya kazi kabla ya kutangaza shindano.
ReplyDelete--mathemagician