Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Generali Samweli Kitundu akifafanua jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo Mlalakuwa, jijini Dar kuhusu jeshi hilo kutimiza miaka 47 ifikapo Julai 10.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2010

    Pamoja na kutupiga vibao JKT ila ninakupa hongera Mishack kwakuongezewa jiwe jingine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...