Jumapili 4/7/2010 Jumuia ya Watanzania (TANZ UK)
tawi la mji wa Leicester ilifanya uchaguzi wa viongozi wake, huu ukiwa
ni uchaguzi wa kwanza kabisa kwa tawi hili.

Uchaguzi ulitanguliwa na zoezi la kuandikisha wanachama, ambapo Bw. Desa Mambo Makoko ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa kusimamia uchaguzi huo.
Waliochaguliwa kushika nafasi za uongozi ni hawa wafuatao:
Mwenyekiti: Suwedi Yunus Abdallah
Makamu Mwenyekiti: Saleh Hemed Al-Bahry
Katibu: Khamis Sahal
Katibu Mwenezi: Hamisi Kayugwa
Mweka Hazina: Khalid Kassim Ndagiye
Mweka Hazina Msaidizi: Moses Kusamba
Mjumbe: Ali Omar Ali
Mjumbe: Saleh Ali Juma
Pia tawi linao tayari wajumbe wawili
wanaoliwakilisha katika Kamati
Kuu ya TANZ UK taifa, ambao ni:
Frida Kusamba
Abdul Dau
Hatua ifuatayo ni kwa viongozi kufanya kikao cha mwanzo cha kugawana na kuelekezana majukumu, na kisha kuandaa Mkutano wa uhamasishaji, ambao utajumuisha wadau mbali mbali kutoka ndani na nje ya Leicester, utakaokuwa na lengo la kuitangaza TANZ UK na kufafanua malengo ya kuwepo kwake pamoja na faida za mwanachama.

Kuhusu uanachama,
katiba ya TANZ UK inasomeka hivi:
Aina za Uwanachama
Uanachama wa Jumuiya utakuwa katika aina zifuatazo:
I. Mwanachama kwa kuwa ni raia wa Tanzania aishie Uingereza .
II. Mwanachama wa Wakutunukiwa {heshima}, atakuwa ni mtu yeyote ambaye kwa wadhifa wake, utalamu wake, au mchango wake kwa jamii utatambulika anaweza kutunukiwa tuzo ya uwanachama na mkutano mkuu wa jumuiya. Uanachama wa aina . Uanachama wa aina hii utaamuliwa na Kamati ya Utendaji.
III. Wanachama wasio raia wa Tanzania, lakini wakubaliana na malengo na madhumuni, mila na desturi za Kitanzania, pamoja na katiba ya jumuiya.
Kwa maelezo zaidi juu ya kazi za TANZ UK Leicester pamoja na namna ya kujiunga uanachama, tafadhali wasiliana na:
Mwenyekiti: balozisuwedi@yahoo.com

simu: 07931204823
Katibu: ksahal@hotmail.com
Katibu: ksahal@hotmail.com
simu: 07982124581

Mkwe naona unazidi kuiva tu!
ReplyDeleteMwenyekiti Suwedi umerudi lini?nilisikia unatengeneza vijisenti bongo!
ReplyDeleteMbona majina ya Kiislamu mengi kwa hao viongozi?
ReplyDeletena mbona majina ya kina JOHN mengi toka wilaya hadi TAIFA hulalami anon?!
ReplyDeleteau ndo ile ya yenu nyie "DUH" ya wenzenu midomo juu?!