e bana wakati sie ndio tuaanza anza kuonja utamu wa bajaj wenzetu walianza long time,tofauti kibajaj hiki kina tairi mbili mbele kwahiyo huna haja ya kuogopa kupiga mwereka labda mwereka kwa nyuma a.k.a.(ngwara). jamaa kakitunza na mpaka leo. nimekifumania mahali kinauzwa,uliza bei yake sasa ni pesa ya madafu milioni 16.5 tu,haya kama kuna mteja awahi.
na kingine mkuu naomba uniwekee kablog kangu
na kingine mkuu naomba uniwekee kablog kangu
na wote wanakaribishwa kuchangia mawazo picha na lolote wakitaka,
ahsante
mzee wa libeneke oyeeeeeeee!.
Yaani nitoe milioni 16.5 kwa ajili ya hiki kitoroli.Niache kununua Corolla yangu na chenji irudi.Mimi nashauri mwenye hichi kigari akakipeleke jumba la makumbusho.!!
ReplyDeleteAheri kuruka kichura kuliko kupanda huyu chura!!
ReplyDelete