Ni siku ya 31 toka ulipotutoka kimwili, kwani kiroho bado uko nasi.
Unakumbukwa kwa mapenzi ya majonzi na mama yako Edith,

Wanao
Charles, frank na Bonny

Wajukuu
Margareth, Jane na Joan

Wadogo zako
Esther, Rose, Peter, John, Veronica,
David na ukoo wote wa Kisaka.

Mkesha wa arobaini utakuwa tarehe 23/07/2010 Kijijini Lusanga

TULIKUPENDA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI

JINA BWANA LIHIDIMIWE
AMINI!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2010

    Nani anakumbukwa?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2010

    Poleni sana. Lakini naona mmesahau kuandika jina la marehemu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2010

    Na kweli,

    Ankal Michuzi mbona hapa umechemsha kwa kutangaza shukrani za msiba ambapo aliyefariki hajatajwa?

    Pole na majukuu mengi pamoja na safari nyingi.

    Mdau Masaki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...