
Management of Radio Mbao is pleased to announce
that today July 1st, 2010 is an official launch date of Radio Mbao
http://www.radiombao.com
Our mission is to enlighten, excite, and educate people through our station’s program while offering a variety of music 24hrs a day.
Our mission is to enlighten, excite, and educate people through our station’s program while offering a variety of music 24hrs a day.
You can login to Radio Mbao website
to listen to a variety of music 24hrs a day.
We will have different kind of live shows in our radio such as KOMBOLELA SHOW (hosted by Metty), REAL LIFE PROGRAM GOSPEL SHOW (Hosted by Amos), JIACHIE SHOW, ACT A FOOL SHOW etc. For more information about the programs and the radio, visit our website
or contact us through
ADVERTISE WITH RADIO MBAO (BANNER + AUDIO ADS PACKAGE)
30 Ads every 24 hrs: 1 Week, $ 400.00
30 Ads every 24 hrs: 2 Weeks, $ 500.00
30 Ads every 24 hrs: 3 Weeks, $ 550.00
30 Ads every 24 hrs: 1 Month, $ 650.00
30 Ads every 24 hrs: 1 Week, $ 400.00
30 Ads every 24 hrs: 2 Weeks, $ 500.00
30 Ads every 24 hrs: 3 Weeks, $ 550.00
30 Ads every 24 hrs: 1 Month, $ 650.00
Kwa nini mmweweka bei kwa fedha za kigeni? Na je, ni dola za kiMarekani au Australia au Singapore?
ReplyDeleteHuo ni utumwa wa mawazo
Hata kama ni dola ya singapole kwanini muanze na ghali hivyo wakati hata wenye kununua hayo matangazo hawajajua mnasikika na watu wa kiasi gani.
ReplyDeleteLabda mnajuulikana sana huko mlikoanzisha hii radio lakini mimi leo ndio naona hapa kwa Michuzi . Imagine nitupe hela yangu kutangaza na nyine...
Kaka michuzi hata hacharge ghali hivyo na anajulikana ulimwengu mzima kama coca cola vile.
Nimeingia kuangalia Radio yenu mmesema ni commercial free...Sasa hizo audio package mtatangazia wapi?
ReplyDeleteMnacharge ghali hivyo kushinda hata google bwana wakati ndio mnaifungua tu. Stop being greedy na natumaini hao wasanii mnaopigisha nyimbo zao huko mtawalipa pia vizuri.
TBC watakuja kuingia mitandaoni lini? Vijana wadogo kama hawa wa "Radiombao" nao wanawapita pia. Ni aibu kweli.
ReplyDeleteLakini Mhando na genge lake wanazidi kupasuka miili utadhani viwavi na hatuoni kinachofanywa.
Tunataka kuipata TBC radio mtandaoni ikirusha matangazo yake "Live". Siyo yaliyorekodiwa na akina Dullo, kama ilivyo sasa.
It's Great To Be Black=Blackmannen
Wazo ni nzuri,ila jina la radio mbao??? Wakati mwngn jina la kitu linaweza kukipaisha kitu au kukishusha,ivi hamjaona jina jingine na kuamua kuchukua ilo.Ukompa mtoto wako jina la TABU ataishi ktk tabu maisha yake yote.kuweni wabunifu au market manager wenu akuwashauri.Watch out
ReplyDeleteAnkal nirushie iyo usinibanie.