Mshambuliaji wa pembeni wa Polisi Morogoro, Nuru Fundi akilenga goli mbele ya mlinzi wa Ras ya Lindi, Nsila Tama katika mchezo wa ligi daraja la kwanza ya mchezo wa netiboli uliofanyika kwenye uwanja wa TCC, Chang'ombe, Dar es Salaam, leo jioni. Polisi Morogoro ilishinda 35-10.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2010

    jamani mimi naomba mnieleweshe kama nitakuwa nimekosea! huu mchezo nazani wanacheza wanajeshi tu kwani sijawahi ona uku ulaya watu wanacheza netball Maybe volleyball najua unawapenzi wengi!! mimi naona hiyo net ball ya watanzania ni bora wacheze baketball ya wanawake tu tujuhe moja!! kwanza kwa nini wachezaji wetu wa net ball BIBI TITI zina kuwa kubwa sana !!!
    ni mtazamo tu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2010

    ACHENI KUCHEAZA NETBALL AMKENI WATANZANIA CHEZENI HANDBAL BASKETBALL ,RIADHA, TENIS, MICHEZO INAYOJULIKANA KIMATAIFA UKISEMA NETBALL NAULIZWA NETBALL NINI?? JIKWAMUENI NA UMASKINI KWA KWENDA NA WAKATI MIMI NIMECHEZA HIYO NETBALL NIKO HUKU NJE NASEMA AFADHALI NINGEPOTEZA MUDA WANGU KUJIFUNZA HANDBALL HUU MCHEZO NIWAWAINGERZA NIWAKINA MAMA TENA WATU WAZIMA WANENE ILIWAPUNGZE MATUMBO, HIVI JAMANI HUU MCHEZO UPO OLIMPIC???? tena nasiia eti wanacheza wanaume sikuhizi MAKUBWA TOBAAA!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...