Home
Unlabelled
madansa wa FM academia jukwaani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Daah hata wacheza show tuna import, sasa vijana wetu watafanya kazi gani. wat about NUSU UCHI wear??!!!!!!!!!! michuzi next month video kama hizi no utatuhalibia Ramadhani zetu.
ReplyDeleteMMH UNAYAPENDA WEWE KAKA MICHUZI, NDIO NINI KUWAFWATILIA KWA NYUMA??? UONE NINI? LOH HATARI KINA DADA HAWA!! UCHI KABISA HAPO, DUNIA KWISHNEY KABISA.
ReplyDeletesiku hizi kuwa mweusi bongo ni utake mwenyewe.mambo yote twanga pepeta
ReplyDeleteAcheni ushamba nobody is uchi there. Mlitaka wacheze na gauni au?
ReplyDeleteWatu kama nyie mkifika huku nchi za wenzetu ndo macho yatawatoka vizuri..hao wanango kabisa.
Anyways ni mtazamo wangu, kwani hayo ndo mavazi ya kuchezea tht style ya mziki...hawawezi vaa gauni....na hawapo uchi!!
hawako uchi wala ni nini wako juu umeona uchi hapo?? acheni kelele ulilazimishwa kutazama ? kazi kufungulia vuvuzela tuu, strips clubs ndo wanacheza uchi na sio hao eboh, vivazi va summer hivyo mchana kweupee bado hapo darpatabadiika tuu, nendeni slip way jumapili ndo mtashaa
ReplyDeleteUtakuta hapo wanaishi maisha ya chini kweli. Wakati kipaji chao walicho nacho wangekua wanakatika mauno yao huku wangekua million ear in no time...They good ...na hawako uchi kabisa anayesemma wako uchi hujui uchi ukoje wewe......Imebidi nimwamshe mume wangu aje aone jinsi wanawake wa kibongo wanavyo katika viuno..Halafu hataki kubanduka kwenye computer .....ansema paja...sweet paja hahahahah love it....
ReplyDelete