Mshindi wa shindano la Vodacom Miss Exellence Open Unirversity of Tanzania 2010 Christin Justin (kati) akiwa na washindi wengine kwenye shindano hilo usiku wa kuamkia leo kwenye kampas ya chuo hicho eneo la Biafra Kinondoni. Kushoto kwake ni mshindi wa tatu Jaquiline Mwombeki na kulia kwake ni mshindi wa pili Glory Mushi.
Tano bora ya Vodacom Miss Exellence OUT 2010
Washiriki 11 waliochauna
MC Ephraim Kibonde akimtambulisha Jaji mkuu
Dk. Paul ili atangaze matokeo ya Vodacom Miss Exellence OUT 2010
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Profesa Tory Mbwete
akimkabidhi zawadi mshindi wa pili Glory Mushi
Mshindi wa tatu Jacquiline Mwombeki akipokea
zawadi yake toka kwa Mkurugenzi wa Miss TZ ankal Hashim Lundenga
Mgeni rasmi akimkabidhi zawadi Christin
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Profesa Tory Mbwete akitangaza aina ya zawadi watazopata washindi. Tofauti na mashindano mengine ya urembo OUT wanaandaa mashindano haya kuhamasisha vijana kujiunga na chuo hicho ambapo mshindi anapata pesa taslimu na scholarship ya kusoma hadi ngazi ya Masters
kamati ya maandalizi
ngoma ya kitamaduni toka Korea ilitumbuiza
Mkurugenzi wa Mawasiliano OUT ankal Albert Memba (kulia)
akipozi na Jose Mara wa FM academia ambao walitumbuiza kwenye shindano hilo
meza ya majaji
mwakilishi wa wadhamini wakuu, Vodacom
Wadau wa kitivo cha biashara wakiwa wametulia mezani pao
Wadau wakifurahia onesho
wadau oneshoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ilipendeza haswa na kumeremeta vya kutosha shukrani ziwaendee waandazi wa shughuli nzima hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...