Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Gado aise kiboko, hapo amesahau kumvalisha huyo zuma skafu tuu!
    Anywaym hizo picha tatu ni za wake zake, ya kwake inawatazama! Kakanyaga jabulani, kashika vuvuzela huku kijasho chembamba kinamtoka kwa kuomba dili lingine la olympics!
    Gado respect man!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2010

    Huyu naye kazidi ni wivu au chuki na wasauzi? let them breath and enjoy their victory of hosting a well organize world cup game pleaeeeas

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2010

    I always enjoy Gado cartoons. Kuna wakati alikua na website yake (www.gado.co.ke) lakini imekua ikileta kwikwi kwa muda mrefu sasa (mfano .... oops! our google chrome could not find www.gado.co.ke).

    Ankal na wadau wengine, nisaidie kutambua tatizo liko wapi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2010

    Huyu Gado amekaa sana Kenya mpaka amekuwa na wivu wa kikenya. Unafikiri kuandaa kombe la dunia mchezo, when are we going to leran to give credit where it is due ? South Africans should be commended and not ridiculed for what they were able to accomplish.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...