Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goet szche akionesha chupa ya maji ambayo huzalishwa na Kampuni ya Bia nchini TBL. Ikiwa ni moja ya bidhaa mpya za kampuni hiyo. Kushoto ni Katikati ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya TBL Cleopa David Msuya.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Cleopa David Msuya (katikati) akifafanua jambo kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa wanahisa Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goet szche na kushoto ni Mwanasheria wa TBL Huruma Ntalena.

Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goetszche akifafanua jambo wakati wa mkutano wa Wanahisa wa Kampuni ya Bia TBL Dar es Salaam leo. Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya TBL Cleopa David Msuya na Kulia ni Mzee Anorld Kilewo.

Mmoja wa wanahisa wa TBL akiuliza swali wakati wa mkutano mkuu wa Wanahisa wa TBL Dar es Salaam leo.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2010

    Tujulisheni, angalau kwa picha tu, wenye hisa katika Barrick au Precision Air!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2010

    Acha majungu kaka. Barrick wanaenda public very soon na hata wewe utaruhusiwa kununua hisa pale DSE. Precision Air nao wako mbioni kufanya hivyo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2010

    Mnanishangaza!! kama hayo kwenye chupa ya safari ni maji mbona nyinyi wenyewe mmeweka mezani maji ya cool blue si mngekunywa hayo yenu basi kama ni maji?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 15, 2010

    "Barrick wanaenda public very soon..."

    Unajua consequences zake?

    Natabiri huo utakuwa ndio mwanzo wa Barrick kufunga virago!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 16, 2010

    Anonymous wa Tarehe Thu Jul 15, 10:41:00 PM,

    Yaani Barrick kuwa listed kwenye Dar Stock Exchange ndio mwisho wao> How? Keep in mind wame spin off The African Barrick Gold (ABG) from Barrick Gold(ABX).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...