Mfanyakazi wa zamani wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ambaye sasa ni Mwenyekiti wa
Bodi ya Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Maneno Ushindani Mbegu, akikabidhiwa na Katibu Msaidizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kisarawe,Ashura Amanzi fomu za kuomba kuwania ubunge Jimbo la Kisarawe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2010

    Ongela sana, bwana Maneno.S.Mbegu tunaitaji watu kama wewe kuleta maendeleo kwenye jimbo letu,tupo pamoja na wewe na tutashida. MDIGWA- CHOLE SAMVULA KIJIJINI.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2010

    majina mengine bwana !! majina mengine yanaweza hata kukukosesha kura hivi hivi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2010

    Mdau wa hapo juu!Usitoe mahamuzi kwa kumwangalia, Mtu uzuri wa jina lake au umbaya ya jina lake,na pia kumbuka wazee wetu wa zamani,zama hizo majina yalitolewa na kupewa mtoto kutoka na maoni fulani,au kuna kitu fulani, au utani fulani nk,hususani sisi watu pwani,TUWE PAMOJA KATIKA HILI NA TUTASHIDA.MDAU - NAFASI KIBUZI,

    ReplyDelete
  4. Hongera sana mzee
    Tunakutakia ushindi na tuko tayari kushirikiana nawe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...