Bodi ya Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Maneno Ushindani Mbegu, akikabidhiwa na Katibu Msaidizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kisarawe,Ashura Amanzi fomu za kuomba kuwania ubunge Jimbo la Kisarawe
Home
Unlabelled
Maneno Mbegu achukua fomu za kugombea ubunge Kisarawe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ongela sana, bwana Maneno.S.Mbegu tunaitaji watu kama wewe kuleta maendeleo kwenye jimbo letu,tupo pamoja na wewe na tutashida. MDIGWA- CHOLE SAMVULA KIJIJINI.
ReplyDeletemajina mengine bwana !! majina mengine yanaweza hata kukukosesha kura hivi hivi
ReplyDeleteMdau wa hapo juu!Usitoe mahamuzi kwa kumwangalia, Mtu uzuri wa jina lake au umbaya ya jina lake,na pia kumbuka wazee wetu wa zamani,zama hizo majina yalitolewa na kupewa mtoto kutoka na maoni fulani,au kuna kitu fulani, au utani fulani nk,hususani sisi watu pwani,TUWE PAMOJA KATIKA HILI NA TUTASHIDA.MDAU - NAFASI KIBUZI,
ReplyDeleteHongera sana mzee
ReplyDeleteTunakutakia ushindi na tuko tayari kushirikiana nawe.