AKIWA NA KAKA YAKE KULIA NA KATI NI RAFIKI YAKE DEO
AKIWA NA KAKA YAKE KULIA NA KATI NI RAFIKI YAKE DEO
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nambua naye amekula Nondozz??
ReplyDeletehongea Lawrence,nakumbuka tulkuwa tunacheza sana kikapu pale kwa master Jay.Oysterbay kama unakumbuka group lakina kingo bari na wengine.
ReplyDeletebig up bro.
haya weeeeeeeeeeee, hongera lawrence. kaka Deo aminia,nilikukubali toka siku ya kwanza tulipokutana bradford na nitazidi kukubali siku zote. Suti imetulia.
ReplyDeletebinadamu wana .............
HONGERA SANA LAWRENCE NA MUNGU AKUBARIKI SANA AM PROUD OF YOU
ReplyDeleteHongera sana kaka.
ReplyDeletehongera lau.
ReplyDeleteNakupongeza kijana, dunia hii shule na tumia akili yako kufanyakazi sio useme kazi hakuna, kazi nyingi tu, wadau mbona hamjakandia kama graduate wengine mlivyotoa maoni ya kitoto, Lawrence wazazi wake wanalipa lakini graduate wengine wamejilipia kwahiyo vijana nenda shule wacha kucheza pool kikwete hilo amekataa huwezi kuwa na maendeleo kwa kucheza pool asubuhi, alafu ukiona wenzenu wanagraduate mnaanza ooh huyu mzee, ooh huyu nini, shule haina uzee kama wafuatiliaji wa mambo graduate mkubwa kuliko wote mwaka huu ana umri wa miaka 88 kutoka Cambridge university huyu amepata digrii ya masters in waste management nilimpongeza sana huyu mzee kwani shule yake hiyo ni morden na anahitajika sana anweza kufanya kama consultant wa stratergy planning katika local government au popote, hii ndiyo maana ya kusoma sio mtu akimaliza shule ooh degree haina kifua Tanzania nini maana yake hii.
ReplyDeleteMdau
sawa kijana hongera sana elimu ndiyo yenyewe kwani hamna mtu ataweza ichukua mara utakapo ipata. Sasa kumbuka enzi zile pale tirdo nyumbani kwenu ulivyokuwa unakuja kwetu next door na ninakwambia lazima usome ili tuongeza listi ya wajuzi tanzania kila sekta..well guess what umeshaingia kwenye list. Keep it up and more congrats
ReplyDeleteToo much, hafula inafanyika majuu?
ReplyDeleteUlitaka wafanyie wapi,,, kwenu? watu wengine bwana. Kwani kuna ubaya gani kufanya sherehe baada ya graduation kwney chumba kama hicho, kwani hapo umeona ufahari gani wa kukuumiza roho? , ndio nyie nyi mnao roga majirani zenu sababu wamepika wali kuku , mchawi wee!
ReplyDeleteHuku Uk jamani hakuna elimu yoyote ni biashara tu wameweka mbele na asilimia nyingi ya masomo huku wanasomesha biashara:wewe hata ukija kusoma lugha ya kiarabu basi lazima utasomeshwa namasomo yao kadhaa-then degree za uk si kama za BONGO MAANA uk UNAMALIZA UNAVOTAKA WEWE-UNAWEZA MWAKA MMOJA UKAFANYA PAPER MOJA KISHA UKAPUMZIKA UKAMALIZIA PEPER ZILOBAKI KAMA 3 AU 7-LAKINI BONGO KILA KITU NDANI YA MIAKA MINNE UK HATA MIAKA 10.
ReplyDeletewatu mna pesa?si mchezo
ReplyDeletekaka umeoa?
Annony:Tarehe Wed Jul 28, 04:13:00 AM,
ReplyDeleteChukua tano
Observer