MAREHEMU AMMY TUNU SHEM (MAMA SHEM)

MISA ITAFANYIKA TAREHE 17/07/2010 SIKU YA JUMAMOSI KUANZIA SAA 9 MCHANA NYUMBANI KWAKE KINONDONI

Familia ya Mama Shem (AMMY TUNU SHEM ) wa Kinondoni Dar Es Salaam aliyetutoka tarehe 02/05/2010 Tunapenda kutoa shurkani zetu za dhati kwa ndugu jamaa Majirani na marafiki wote walioshiriki kwa njia moja ama nyingine kwa hali na mali katika kufanikisha kumsindikiza mama yetu kipenzi, mpendwa wetu katika safari yake ya mwisho hapa Duniani kuelekea kwenye nyumba yake ya milele na kuupumzisha mwili wake tarehe 05/06/2010 katika makaburi ya Kinondoni Dar Es Salaam.

TAREHE 16/07/2010 KUTAKUWA NA MKESHA NYUMBANI KWAKE MPAKA ASUBUHI YA TAREHE 17/07 SAA 12 ASUBUHI KUTAKUWA NA SPECIAL IBADA YA KUMUOMBEA KATIKA KANISA KATOLIKI MWANANYAMALA (MTAKAOWEZA KUHUDHURIA ASUBUHI HII MNAKARIBISHWA SANA ) BAADA YA MISA HIYO YA ASUBUHI WASHIRIKI WATAKWENDA KUPANDA MSALABA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI ALIPOPUMZIKA BAADA YA HAPO WATU WATARUDI NYUMBANI KUJIANDAA NA MISA YA SHURKANI KWA WOTE ITAKAYOANZA SAA 9 JIONI NYUMBANI KWAKE , BAADA YA HAPO KUTAKUWA NA SHURKANI NA SADAKA KWA WALIOSHIRIKI

KARIBUNI SANA WAPENDWA

NAOMBA USHIRIKIANO WENU KAMA TULIVYOSHIRIKI MWANZA BWANA AWABARIKI SANA

NI VIGUMU KUMSHUKURU KILA MTU ALIYESHIRIKI KWA HALI NA MALI KWA KUTAJA MAJINA ,BALI TUNAOMBA MZIPOKEE SHURKANI ZETU ZA DHATI KWA PAMOJA , SISI FAMILIA YA MAREHEMU MAMA SHEM TUNASEMA ASANTENI SANA MMETUFARIJI SANA KWA UWEPO WENU HATUNA CHA KUWALIPA NA ILA MUNGU AWABARIKI SANA MUENDELEZE MOYO WENU HUU MLIOTUONYESHA KWA YOYOTE YULE

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LITUKUZWE AMEN

KWA RATIBA YA HITIMA WASILIANA NA

1. RASHID (RAMSO) SHEM – ---- +255765653670 (MDOGO WA MAREHEMU)

2. MRS ELIZABETH MAGONGO -+255713660417 (MTOTO WA MAREHEMU)
3..EZEKIEL SEKUBA--------------- – +255715289134 (MTOTO WA MAREHEMU)

4.JULIUS MAGONGO -------------------- +255717100276 (MKWE WA MAREHEMU)

5.ROSE SHEM ----------------------- +255713691715 (WIFI WA MARHEMU)

6.RICHARD SHEM SEKUBA ---- +447775787256 UK , +255777578725 TANZANIA (MTOTO WA MAREHEMU- UK )

7. ERIC WINSTON MASANJA --- +447955663571 (MTOTO WA MAREHEMU - UK )

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...