KATIBU WA CCM WILAYA YA NJOMBE MKOANI IRINGA,MOSES MPAGIKE KUSHOTO AKIMKABIDHI FORM YA KUWANIA UBUNGE WA JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI AFISA HABARI WA UMOJA WA MATAIFA(U.N)KITENGO CHA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA (ICTR) BW. DANFORD MPUMILWA JUZI KATIKA OFISI ZA CCM WILAYANI HUMO,WALIOSIMAMA PICHANI NI BAADHI YA WANANCHI WALIOMSINDIKIZA KUCHUKUA FORM HIYO JUZI. PICHA NA MOSES MASHALLA WA GLOBU YA JAMII
DANFORD MPUMILWA BAADA YA KUKABIDHIWA FOMU


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2010

    hawa wanaochukua fomu ndani ya ccm nao wafunguliwe kitengo chao. kwanza wapiga kura hawasomi blogu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2010

    Hongera sana mpambanaji, Malafyale Danford.
    Wangekuwa mamluki wanaruhusiwa ningekuja kukupigia kura hukohuko Njombe
    Ha ha ha !!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2010

    Huyu ni mmoja wa watu wanaonifanya nione umuhimu wakumpigia mtu kura kutokana na utendaji wake na sio chama. Ingawa CCM imetuangusha saaaana for years.Watu kama Mpumilwa wamesimama strong kuleta maendeleo kwahiyo tusiache kuwapa kwavile wanavaa kijani na njano tuwapime kwa utendaji wao. Asanteni.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 21, 2010

    Uncle Dan, wana-njombe tunakuunga mkono kwa sababu ya ya ufanisi wako kikizi na kimaisha na kuwa mtu wa watu. We anon wa kwanza, (3:10 pm) nani kasema wapiga kura hawasomi blogu. Wacha arrogance yako ya kijeuri, wewe humjui Mpumilwa na wala si mwana-njombe so shut up. Tuwache sisi wahusika tumpigie Mpumilwa kura kwa kuwa yeye ni 'mover and shaker and doer' na tangu 1990's amekuwa akifanya kazi kama ofisa mwandamizi UN kwa hivyo yeye si mhitaji...njombe ndiyo inamhitaji. J. Lwoga.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2010

    mmmh haya endeleeni kutudanganya,na kuneemeka kwa pesa za walipakodi.huku mkisinzia na kushindwa kutuwakilisha

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2010

    vakuboma asandi!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2010

    We anon wa 10:41 AM, uncle Mpumilwa hahitaji kuneemeka kwa kodi za wananchi kwa kuwa UN imekwishamneemesha. Usijitie kidomombele kwa usiyoyajua. J. Lwoga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...