Bro. Michuzi.
Pole na kazi na majukumu. Tafadhali naomba unisaidie kuomba msaaada kwa wasamaria wema kutoka katika Blog yetu ya Jamii.
Mimi ni mama ambaye ninajishughulisha na kuandaa matamasha kwa ajili mafunzo mbalimbali kwa watoto wadogo kuanzia miaka 6 mpaka miaka 13. Nia ya matamasha hayo ni kufundishwa michezo, ngoma, ngojera, vyimbo, michezo ya kuigiza, usomaji wa biblia, na mashindano mbalimbali ya kikristo.
Ninachoomba kwako ni kuomba msaada kwa wasomaji wako kama kuna yeyote atakayeguswa na kusaidia gharama au vifaa ambavyo watoto watatumia katika matayarisho na hata katika matamasho hayo ambayo yataanza kufanyika mara tatu kwa mwaka yanajumuisha watoto 500 katika kanisa. Msaada ni Msaada chochote alichonacho nacho basi tutashukuru sana.

Naomba usinitupe kapuni kwenye blog yetu.
Tel No. 0787-305972.
My email address ni
Siku njema na Mungu akubariki na kazi yako Nzuri

Catherine

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2010

    Catherine ombi lako limefika. Lakini hebu tupe historia ya hilo group lenu? Ni non profit group au ni for profit? Hao watoto watakaofaidika na hayo ni underprivileged au ni watoto wanaotoka kwenye familia za kawaida?

    Nataka kujua hayo ili nikitoa maoni yanguyaeleweka na pia yawasaidie hilo group lenu in a long run

    1. Kama watoto wanatoka kwenye familia zisizo na uwezo basi ni vizuri mukae chini muandike goals zenu, nini mnacho na nini specific mnahitaji wenye uwezo watachangia.

    2. Wawe wanatoka kwenye familia zenye uwezo au la ni vizuri kuwafundisha watoto hao jinsi ya kufanya ili kuchangia katika program zao. Kuna mambo mengi tu ya kufanya kwa watoto wadogo ili kucontribute kwenye vitu vya manufaa yao. Kwa mfano kila mara kabla ya kuanza mafunzo yao waweke matangazo kuwa watakua wanauza lemon juice, cookies etc etc hata kwa saa moja tu. Wafundishe kurecital maneno ya bibilia, kuimba na kuonyesha maigizo halafu ufanye kiconcert ucharge watu kiingilio. Na uwaelezee watu kuwa hizo hela ni za shughuli fulani. ..Nasema hayo kwa vile Tanzania tumezoea misaada tu na watoto tunawakua na kufuata hivyo hivyo tu. Mimi navolunteer kufundisha Sunday school hapa ninapoishi. Watoto wangu wa Sunday school tumewapeleka juzi tu Hershey park, PA...wakaspend the whole day huko..na 99 percent ya hela iliyotumika imetokana na juhudi zao. Tulifanya kiconcert kanisani siku moja (watoto walionyesha very simple) Muda wakukusanyika na kufundishana sio mwingi kama ninavyokumbuka tulivyokua tunajiandaa TZ....lakini waumini na watu wanaokaa karibu waliotokea kwa wingi sana kussuport. Watoto hao waliuza lemon juices, cookies, wametengeneza hereni na bangili tukawa tunaziuza kwa waumini mpaka tukafanikisha safari yao. It was a hard work but kutokana na goals and determination tuliyokua nayo it kept us going. One year was our goal and we made it. Hiyo inawafanya watoto wafurahie matunda ya jasho lao. Wanajua wamecontribute kwenye safari yao. Mambo ya kuwatengenezea kila kitu watoto inatufanya tukikua tunakua very slow kujituma. Na kusubiri kufanyiwa kila kitu tena au ndio tuombe tena misaada.

    2. Kama watoto wanatoka kwenye familia zenye uwezo basi ni vizuri kuwaamba wazazi wachangie hata kidogo. Hivyo vitu ni kwa manufaa ya watoto wao katika miaka ya baadaye. Wazazi kuchangia hela kwa ajili ya extra curriculum za watoto zaidi ya elimu hawapendi kabisa. Na wanaona hazina maendeleo wakati wangejua watoto hao wanaweza kutumia waliyojifunza wakiwa wakubwa na kumake a living out of it... Jaribu kuongea na wazazi wao uoene watachangia kiasi gani.

    Halafu ukija huku at least unaonyesha your goals, what you have, what parents contributed, what kids contributed and what you need..Ukiacha hewani tu watu wanaona ni ujanja ujanja tu...

    We need to change our minds and introduce independence structures and foundations to our kids while they are still little.

    Honesty ninaadmire sana wazazi wa hizi nchi zilizoendelea. Hawa watu wanaoleta misaada huko kwetu kila siku sio kuwa ni matajiri kama tunavyofikiri bali walikuzwa na wazazi wao na walifundishwa tabia hiyo ya kujitegemea na kutoa toka walivyokua wadogo. Mtoto wa rafiki yangu ana piggy banks zake nne moja imeandikwa save, spend, inverts and charity. Kila kakipata hela kanagawanya mara nne. Na kakitaka kununua kitu kanatumia kwenye piggy bank ya spend. Hizo zingine hazigusi kabisa. Mama yake aliniambia last year walinunua teddy bears na kuwapelekea watoto hospital from her charity piggy bank. Na mama yake alisema kalifurahi kweli na huyo mtoto ana miaka 6 tu.Just imagine akikua atakua na mtu wa namna gani na mwenye moyo upi? Wa kuomba misaada au wakujituma na kukumbuka kusave, kuinverst na kusaida pale anapoweza......Nilivyoona hivyo nikasema why not us..Why don't we teach our children this things too????? WHY

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2010

    Catherine ombi lako limefika but give us a lil’ history of ur group. Is’t a non-profit or for profit? Those kids are from underprivileged families or not?
    1. If kids are from underprivileged families then tell us ur goals, what u have and what u specifically need those who have will giveout. Ukiacha hewani tu watu wanaona ni ujanja ujanja tu.

    2. Weather are from underprivileged families or not it’s better 2 teach kids how to help out on the things that are for their benefit. There are so many things kids could do 2 contribute. Eg. Everytime b4 mafunzo yao put the ads out to people kuwa wanauza lemon juice, cookies etc just for 1 hr. Teach them to recital bible words, sing and maigizo then make a little concert for little entrance fee. You tell people what that money is for. Iamtelling this b’se Tanzania wazazi wetu walidepend on misaana and the children we grew up and do the same. We need to change the cycle. Mimi navolunteer kufundisha Sunday school. Watoto wangu tumewapeleka juzi tu Hershey park, PA wakaspend the whole day huko and 99 percent of the money we got from doing our own llittle stuffs and the kids liked it so much. Tulifanya kiconcert kanisani siku moja (watoto walionyesha very simple) lakini waumini na watu wanaokaa karibu na kanisa waliotokea kwa wingi sana kusupport. Watoto hao waliuza lemon juices, cookies, walitengeneza jewelries tukawa tunaziuza kwa waumini mpaka tukafanikisha safari yao. One year was our goal and we made it. Hiyo inawafanya watoto wafurahie matunda ya jasho lao. Mambo ya kuwatengenezea kila kitu watoto inatufanya tukikua tunakua very slow kujituma. Na kusubiri kufanyiwa kila kitu tena au ndio tuombe tena misaada.
    3. Kama watoto wanatoka kwenye familia zenye uwezo basi ni vizuri kuwaamba wazazi wachangie hata kidogo. Hivyo vitu ni kwa manufaa ya watoto wao katika miaka ya baadaye. Wazazi kuchangia hela kwa ajili ya extra curriculum za watoto zaidi ya elimu hawapendi kabisa. Na wanaona hazina maendeleo wakati wangejua watoto hao wanaweza kutumia waliyojifunza wakiwa wakubwa na kumake a living out of it. Jaribu kuongea na wazazi wao uoene watachangia kiasi gani.
    We need to change our minds and introduce independence structures and foundations to our kids while they are still little. Honesty ninaadmire sana wazazi wa hizi nchi zilizoendelea. Hawa watu wanaoleta misaada huko kwetu kila siku sio kuwa ni matajiri kama tunavyofikiri tukiwa tunaomba au kupokea misaada hiyo, bali walikuzwa na wazazi wao na walifundishwa tabia hiyo ya kujitegemea na kutoa. Mtoto wa rafiki yangu ana piggy banks zake nne moja imeandikwa save, spend, inverts and charity. Akipata hela kanagawanya mara nne. Na kakitaka kununua kitu kanatumia kwenye piggy bank ya spend. Mama yake aliniambia last year walinunua teddy bears na kuwapelekea watoto wagonjwa hospital from her charity piggy bank. Na mama yake alisema kalifurahi kweli na huyo mtoto ana miaka 6 tu. Just imagine akikua atakua ni mtu mwenye moyo upi? Wa kuomba misaada au wakujituma na kukumbuka kusave, kuinverst na kusaida pale anapoweza.Nilivyoona hivyo nikasema why not us..Why don't we teach our children these things too? WHY

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...