Bwana Michuzi.
Natumaini kwamba kila kitu kiko salama.
Rafiki yangu aliyeko Mwanza anahitaji msaada wa haraka na naamini blogu ya jamii inaweza kusaidia.
Natumaini kwamba kila kitu kiko salama.
Rafiki yangu aliyeko Mwanza anahitaji msaada wa haraka na naamini blogu ya jamii inaweza kusaidia.
Anamtafuta kwa haraka sana jamaa yake aitwaye JAFARI KIJENGE ambaye inasemekana yuko Shinyanga au Tabora.Kama kuna ye yote mwenye taarifa zake basi awasiliane nami kupitia barua pepe zifuatazo:
KITENGE yupo ITV Radio One pale mikocheni dar .. mwambie aende pale atamkuta.
ReplyDeleteMkuu,
ReplyDeleteAnon Tue Jul 13, 04:37:00 PM
Umenichekesha ile mbaya. Michuzi, humu mwako kuna wadau wamenyooka kinoma duuh!?
Mdau, Helsinki.
Asante sana Bwana Michuzi na mdau hapo juu kwa msaada. Anayetafutwa siyo Kitenge bali ni KIJENGE na inasemekana yuko Shinyanga mjini. Shukrani zaidi!
ReplyDeleteWATU BWANA WANAKURUPUKA TU, ANAYETAFUTWA NI KIJENGE SI KITENGE KAMA PROFESSOR MATONDO MZUZULLIMA ALIVYOSEMA HAPO, MSIKURUPUKE TU SOMA KWANZA KWA UTARATIBU NA KUELEWA
ReplyDeleteMdau wa Helsinki nilikua sijaelewa maneno yako mpaka nimesoma maneno ya Masangu na anon wa jul 13 07:36 nimecheka vibaya sana,kweli tuache kukurupuka au ndio kapinda?
ReplyDelete