Bro Michuzi,
Pole kwa mizunguko. Sasa ni swali moja la kizushi, hii regulatory body ya simu TCRA walitangaza kwenye magaziti tarehe 16/07/2010 kwamba naamba zote ambazo hazijasajiliwa zimefungiwa na hawata ongeza muda tena.
Cha kushangaza kuna naamba ambazo hazijasajiliwa nabado zinatumika mpaka hivi nikituma hii email. Hii inaoyesha tena ambavyo our regulatory body haina msimamo. Ningependa kupata feedback kutoka kwao.
Mdau SA
Pole kwa mizunguko. Sasa ni swali moja la kizushi, hii regulatory body ya simu TCRA walitangaza kwenye magaziti tarehe 16/07/2010 kwamba naamba zote ambazo hazijasajiliwa zimefungiwa na hawata ongeza muda tena.
Cha kushangaza kuna naamba ambazo hazijasajiliwa nabado zinatumika mpaka hivi nikituma hii email. Hii inaoyesha tena ambavyo our regulatory body haina msimamo. Ningependa kupata feedback kutoka kwao.
Mdau SA
HAMNA SABABU YA KUZIFUNGIA, KWANI KUSAJILI NI SI KUCHUKUWA TU JINA LA MTUMIAJI WA SIMU NA KULIWEKA KWENYE DATA BASE ZAO (SERVICE PROVIDE NA ZA SERIKALI CHOMBO HUSIKA), KWANZA HAKUKUWA NA HAJA YA WATU KWENDA NA KUPIGA MSITARI MRAFU KWA AJILI YA KUJISAJIRI KWA MAANA NAAMINI MAKAMPUNI YA SIMU YANA NAMBA ZAO ZA WATEJA WAO WOTE BILA MAJINA YAO HASA WALE WA PAY AS YOU GO WALIONUNUWA SIM CARDS UCHOCHORONI, KILICHOTAKIWA WAO (I MEAN SERVICE PROVIDERS NA KWA KUSHIRIKISHA SERIKALI CHOMBO HUSIKA) NI KUKAA CHINI NA KUUNDA KITENGO MAALUMU CHA KUSAJILI HIZO NAMBA, KITU WENGEFANYA NI KUPIGA SIMU KWA WAMILIKI WA NAMBA HIZI MMOJA BAADA YA MMOJA NA KUMSAJIRI AS SIMPLE AS THAT. SOME WOULD SAY THAT IT IS VERY EXPENSIVE PROCEDURE, THE SAME I COULD SAY THAT IT IS VERY EXPENSIVE TO INDIVIDUALS GOING ALL THE WAY TO THE REGISTRATION OFFICES. HII NIKAZI YA SERIKALI NA NI INITIATIVE YAO KWA SABABU ZAO WALIZOZIONA NI ZA MSINGI, SO IT IS THE GOVERNMENT THAT SUPPOSED TO PAY THE COST, I KNOW IT IS OUR MONEY TOO EVEN THOUGH WOULD COME PROM THE GOVRNMENT PURSE (TAX PAYER'S MONEY). IT IS FROM THE VERY BEGINNING OF THE MOBILE ERA THAT THEY DID NOT LAY DOWN HOW TO GO ABOUT IT SO THERE IS NO NEED TO PUNISH THE CUSTOMERS.
ReplyDeleteAcha unoko wewe, umejuaje hazijasajiliwa? Au kuna mtu huko kampuni ya simu anatoa information za wateja? Utafungwa wewe, oohooo
ReplyDeleteWewe ulieandika kwa Kingereza hapo juu unataka tukuone msomi lakini huwezi kufikiri? Km suala lingekuwa kupiga simu tu, je ungewezaje kuhakiki majina ya wahusika. Wakitaja ya mtu mwingine utazia vipi? Na wale ambao hutumia simu kupata taarifa za watu ungewadhibiti vipi. (yaani watu wangejuaje ni simu halali kutoka kwa wanaoandikisha?
ReplyDeleteWabongo taabu weli hivi kujua kingerreza ndio usoni? acheni ushamba wewe uanyesema mtu hapo juu ni mshamba sana. Kujua kidhungu sio usomi kabisa kwa vile kuna watu wengi wanaongea kidhungu na wala hawajui chochote...Tembea uone..
ReplyDeletekaka habari kutoka ndani ya kampuni moja ya simu zinasema kuwa kampuni hiyo imeishtaki tume ya mawasiliano mahakamani kwa hiyo kutokana na kesi hiyo tume haiwezi kuchukua hatua kwa ambao hawajasajili. tufuatilie tume tujue kulikoni namba zinaendelea kuwepo hewani.
ReplyDeleteAcheni ujinga.... wewe kama umesajliwa endelea kupeta na bango lako la usajili kwanza hao jamaa wa body la usajili hawapo ofisini wooote naskia wanagombea udiwani ubunge mpaka uraisi hawapo.... we peta tu ... tz tambarare...
ReplyDeletehabari? inawezekana kuwa kuna simu ambazo hazikusajiliwa na bado zinafanya kazi. Lakini kuna ambazo zimesitishwa, ikiwemo ya kwangu na nimelazimika kwenda kuisajili TTCL.
ReplyDelete