KAKA MICHU
BWAWA LA MAINI TUMESHAMKARIBISH KIJANA WA DARAJANI JOE COLE, NA NUMBER 7 ATAIVAA YEYE ILI APATE KUFATA NYAYO ZA DALGLISH NA KEEGAN. MTATUKOMA MSIMU HUU...
KARIBU MR JOE COLE AND YOU WILL NEVER WALK ALONE.
AND MORE TO COME.
MDAU BWAWA DAMU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2010

    Bwawani oye

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2010

    sio number 7 atakayovaa ni number 10 na watatukomaa mwakaa huuuuuuuuu bado taiwo ambaye atacheza number tatu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2010

    Bwawa la Maini ndio nini tena, jameni, kwa Tanzania ya "jivunie vya wengine; kwako kwaporomka"?

    ReplyDelete
  4. kamanda DJuly 20, 2010

    chelsea reject, chelsea reject

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 20, 2010

    Amekwishaa huyoo chokaa mbaya chelsea alikuwa anakalia mkeka, Malouda alichukua number yake ndio maana chelsea walikataa kumpa deal jipya hana mpango huyo, chelsea wamemchukua benayoun

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 21, 2010

    Sungura akikosa zabibu husingizia ----. Waongo nyie watu wa darajani mpaka leo mnamtak mmeshindwa kumuengezea deal. Mbona nanyi mmemchukua Yossi nayeye vipi - Cole is only 28 Benayaayoun 30 plus. nendeni nyie wapata leo na watu hamna history. YOU WILL NEVER WALK ALONE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...