Home
Unlabelled
msemaji wa shirika la maendeleo NDC aongelea miradi yao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KWA WALE WENZANGU AMBAO TULIONDOKA NYUMBANI NA KISWAHILI CHETU CHA SOKOMOKO,SIKU YA KURUDI TUTASHINDWA KABISA KUONGEA.HUYO MDADA AMENIACHA HOI ALIPOTUMIA MANENO "WACHORONGAJI MBADALA" WAMEANZA "KUCHORONGA".AMA KWELI NIKO MBALI NA NYUMBANI.
ReplyDeleteHii kitu mbona kichefu chefu kitupu,inafunguka kwa taabu sana.
ReplyDeleteWezi wengi kwenye hilo shirika, wamekula kiwanda chote cha KMT Moshi, hata jengo haliwezi kupakwa rangi na msaada wote huo umekwenda na maji, vya bure vinaishia majini tumeshindwa hata kuviendeleza, sasa hao wawekezaji wa nje wanakuja wachukuwe kila kitu sisi tubaki watupu. Lakini ni afadhali vijan watapata ajira na watalipwa mishahara.Lakini nyie watu muache wizi.Watu wanaiba wanasahau kwamba umepata lakini angalia waliokuzunguka hawana kazi, kuanzia ukoo wako wewe mwenyewe unaibia shangazi zako , wajomba zako, watoto wako na wajuu wako. Na wote hawan kazi ni watu wanlalamika tu hakuna kazi wakati kulikuwa na kiwanda kinaajiri watu 400, sasa kina watu 20. Sasa ni watu wangapi wangekuwa na hiyo ajira, baba zao wamewaibia na kuwaacha watupu na leo utawaona kwenye mtandao wanlalamika lakini ni wezi tu.
ReplyDeletemmh nimefuata link nikakutana na kwikwi ya mwaka
ReplyDelete